TANZIA My dad is gone

Pole sana watu wengi sana wamepoteza wazee wao hii miaka miwil 2020 & 2021 nadhan covid imechangia ongezeko la vifo hiv ingawa cjui wako wamfarik na kitu gan. Tuwalinde wazee wetu.
 
Pole sana, kwa sisi tuliopoteza wazazi wote wawili na kuanza uyatima tunakuelewa, ni balaa sana ila taratibu mtu hupata unafuu, sema mara moja moja utajikuta hali ya simanzi inakuibukia hata baada ya miaka kumi, haususan kama ulikua na ukaribu nao.
 
Pole mkuu wangu na wote mliopoteza wazazi wenu,ndugu jamaa na marafiki inaumiza sana kuwapoteza watu tuwapendao ila nature ndio inaforce kwa nguvu zote
Inatupasa kukaza mioyo yetu Ili kukabiliana na vipindi vigumu na vya mpito Kama Hivi

Muweni hodari ndani ya mioyo yenu katika kipindi kigumu ndugu zanguni

R.I.P
 
they still live with you,
they are not gone,
close your eyes and fell them,
huwa hawatuachi kamwe sema imani nyingi zasasa ndio huweka mipaka nakutufanya tuwe wanyonge.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Unajua maumivu maana najua ulimpoteza maza
 
I am extremely sorry for your loss. I am sorry for what you are going through.

Be strong, you will get through this EINSTEIN112.
Aisee dada acha tu, najua unajua maumivu ya kufiwa kwa kuwa ulimpoteza maza mwaka jana
 
Namba ya maza hadi leo sijafuta na SIFUTI!
 
Pole sana kwa kuondokewa , ktk uislam yatima ni yule mtu aliefiwa na baba yake ingali hajabalehe akisha balehe sio yatima tena, je ww haujabalehe? Naaamini ww sio yatima
Asante kwa usahihisho mkuu
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…