My date didn’t show up

Ladies,

Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!

Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
 
Hii kitu wanawake hata urudie kuwaimbia mara 100 hua hawaelewi sijui kwanini?
 
Homeboi kaupiga mwingi big up sana kmmke
Homeboi kaupiga mwingi big up sana kmmke
 
.. 'Nd'onimeshasema'...
 
Babu yangu anatafuta mke wa kumuachia urithi majumba magari mashamba kadha wa kadddha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…