Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
dah polee sana💔Hata mimi wakwangu hakuja.
Akasingizia kuwa amesafiri na nilipanga nile mzigo.
Just imagine nimemfungia safari toka Mwanza to Dar!
Niliboreka sana.
Uhusiano ndio umekufa ivo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah polee sana💔Hata mimi wakwangu hakuja.
Akasingizia kuwa amesafiri na nilipanga nile mzigo.
Just imagine nimemfungia safari toka Mwanza to Dar!
Niliboreka sana.
Uhusiano ndio umekufa ivo!
Hiyo kumtafuta asubuhi bado ni part of the game, lengo ni kuficha ukweli.Hapana ingekuwa hivyo,asingemtafuta leo asubuhi
😂😂...watu mna dhambi sana!Atakua alikuja tu....
Ila akaona mbona nilioder sato mkubwa kabisa aliekaangwa ila hapa kuna kambale choma, akaona akancel oda
Uko wapi, nikuchangamshe wkend hii 😀Atakua alikuja tu....
Ila akaona mbona nilioder sato mkubwa kabisa aliekaangwa ila hapa kuna kambale choma, akaona akancel oda
Nakupigia nakupigia ngoja nioge chappp.....Uko wapi, nikuchangamshe wkend hii 😀
Sawa sawa nakusubiriNakupigia nakupigia ngoja nioge chappp.....
Daah hii sentence inanipeleka mbali wacha nitulie tu..Nakupigia nakupigia ngoja nioge chappp.....
Hii kitu wanawake hata urudie kuwaimbia mara 100 hua hawaelewi sijui kwanini?Ladies,
Rule No. 1, usiende date ukiwa huna sumni iwe cash, kwenye simu ama account yako, ama una uhakika kabisa huna backup plan, hata kama unatoka na mpenzi wako sababu lolote linaweza tokea wakati wowote na msaada wako ukahitajika na ukawa huna jambo, the worst can happen anytime..!!
Rule No. 2, usiagize vitu ambavyo wewe mwenyewe huna uwezo wa kulipia kabla your date hajafika, usijaribu..! Na hata akifika shauriana naye kwanza mkubaliane, na pia tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike, vingine muachie yeye mwenyewe achague aone kabisa kwamba he can afford ndiyo aitishe..!!
Homeboi kaupiga mwingi big up sana kmmkeI had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Una akili sana Carleen.tumia ule ubinadamu tu wa kufikiria what if hiyo pesa hana, tupunguze ile tamaa ya kike,
.. 'Nd'onimeshasema'...I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Umeifunga mada.Sio kwamba hakujq, itakuwa alifika mpaka hapo akakuthaminisha pengine kwa mtazamo wake akaona hukufikia matajio yake, hivyo akasepa.
Kumtafuta asubuhi ni kujikosha tuu.Hapana ingekuwa hivyo,asingemtafuta leo asubuhi