My date didn’t show up


Kwa wadada wa kawaida hicho kitu hakikpo..kwa Mashangazi sawa...wanaweza...lkn hizi generation XYZKW...thubutuuu
 
Mtoto wa kike anatoa mawazo mazuri kama haya afu mtu ananiambia acha kutamani ID nyambaaaaafu sana
 
aibu ndogo ndogo babu😌
Hahaha.......poleni Mjukuu

Wakati mwingine mtukumbuke na Wazee wenu, au mnaogopa kutupandisha Presha katikati ya mikimbio 😜

Sio vibaya kubeba akiba ya fedha mnapotolewa for a date, au utumie mbinu yako hapo juu 🤗
 
Hahaha.......poleni Mjukuu

Wakati mwingine mtukumbuke na Wazee wenu, au mnaogopa kutupandisha Presha katikati ya mikimbio 😜

Sio vibaya kubeba akiba ya fedha mnapotolewa for a date, au utumie mbinu yako hapo juu 🤗
Bora mbinu yangu,,coz pesa ya kubeba sina,,na maji natembea nayo ,, sitaki utani

Wazee mtatupa kesi za mauaji
 
Bora mbinu yangu,,coz pesa ya kubeba sina,,na maji natembea nayo ,, sitaki utani

Wazee mtatupa kesi za mauaji
Hahaha........we mjanja naona 😅

Wazee mtuzingatie dawa zetu za Presha tu, otherwise nothing bad can happen 🤗
 
Mh! kwa ufupi jamaa alikushitukia mapema na nafikiri alikua sahihi. Maelezo yako na matendo yako kwa masaa matatu tu yanadhihirisha aina ya personality yako, twende pamoja chini hapa.

1) Kwanza kwenye date unatakiwa kwenda umejipanga kujighalimia wewe, lakini hukuwa umejipanga, si ni siku ya kwanza jamaa hamjuani kwa hiyo lazima huonyeshe una uwezo wa kuchangia, wewe ni wale wanaotafuta opportunity na si mpenzi.

2) Pili baada ya kutoshow-up umeweza kukubali ku-date jamaa mwingine , mpya kabsia tena mahali papohapo bila kusita, huo ni ushahidi tosha kwamba huna msimamo, those are prostitutes' behaviour , I am sorry to say that, hebu fikilia umekaa masaa matatu, umeagiza chakula na vinywaji umekula , umetosheka, pap unakaribia kondoka jamaa anakuapproaches na unakubali kuendelea naye, wewe utakuwa mwanamke hatari sana, ni opportunistic

3) Tatu, hujasema kilitokea nini baada ya kubaki na huyo jamaa, ila kwa kitendo cha kutomficha, na kumtamkia ukweli "that your date did not show up", was an indirect submission , that "I am available, I am all yours now, play your cards right, you will get what you want" na nina uhakika lazima ulimpatia mafidofido, your were depressed and you wanted it. that show jinis husivyoserious na hauna umakini kwenye kujilinda kimwili na kinafsi

Kiufupi tu husimlaumu your first date, wanaume tunamachale sana, wewe endelea na huyo jamaa aliyekuokota ukiwa desperate. Jamaa alisepa baada ya kujitafakali. Sisi tumegundua mapungufu yako mengi kwa masaa matatu uliyotusimulia, je yeye aliyekaa na wewe labda wiki si alichoka kabisa
 
Pole sana
 
Yaani umepiga mle mle-mle, hii tafsiri yako ndiyo take home yangu niliyoipata baada ya kusoma ushuhuda wake huyu mwandishi.

Hapo namba tatu uko sahihi, huyu mdada amekuwa muwazi kwa kila kitu, kitendo cha kuficha kilichojili baada ya kuwa approached na huyo mzungu wa australia, tena kitendo cha kusema tu ni wa australia umetuonyesha wewe unatanguliza mapene mbele, mbona hukutuambia kabila au mkoa a huyo date wako wa kwanza? lakini ulipoficha kilichijili ina maana kuna kitu kiliendelea zaidi ambacho umeogopa kutuambia.

Nina uhakika jamaa alitumia depressive state na disappointment yako kupata mbunye na nina uhakika baada ya hapo hakukutafuta tena;men knows how to deal with prostitutes ("pretend you have fallen, pretend you care , you a gentlemen in order to get the chapati, then run away fast".) , hii ndio philosophy ya smart hunters. That guy was an opportunistic and was in the hunting mission, those types guys know how to read desperate women, most importantly they know how to manipulate them, hukwepi hapo.
 
Kamdomo kamdomo kamdomo

Anyway UMALAYA sio sifa Wala nini utakufa vibaya weweeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…