Mh! kwa ufupi jamaa alikushitukia mapema na nafikiri alikua sahihi. Maelezo yako na matendo yako kwa masaa matatu tu yanadhihirisha aina ya personality yako, twende pamoja chini hapa.
1) Kwanza kwenye date unatakiwa kwenda umejipanga kujighalimia wewe, lakini hukuwa umejipanga, si ni siku ya kwanza jamaa hamjuani kwa hiyo lazima huonyeshe una uwezo wa kuchangia, wewe ni wale wanaotafuta opportunity na si mpenzi.
2) Pili baada ya kutoshow-up umeweza kukubali ku-date jamaa mwingine , mpya kabsia tena mahali papohapo bila kusita, huo ni ushahidi tosha kwamba huna msimamo, those are prostitutes' behaviour , I am sorry to say that, hebu fikilia umekaa masaa matatu, umeagiza chakula na vinywaji umekula , umetosheka, pap unakaribia kondoka jamaa anakuapproaches na unakubali kuendelea naye, wewe utakuwa mwanamke hatari sana, ni opportunistic
3) Tatu, hujasema kilitokea nini baada ya kubaki na huyo jamaa, ila kwa kitendo cha kutomficha, na kumtamkia ukweli "that your date did not show up", was an indirect submission , that "I am available, I am all yours now, play your cards right, you will get what you want" na nina uhakika lazima ulimpatia mafidofido, your were depressed and you wanted it. that show jinis husivyoserious na hauna umakini kwenye kujilinda kimwili na kinafsi
Kiufupi tu husimlaumu your first date, wanaume tunamachale sana, wewe endelea na huyo jamaa aliyekuokota ukiwa desperate. Jamaa alisepa baada ya kujitafakali. Sisi tumegundua mapungufu yako mengi kwa masaa matatu uliyotusimulia, je yeye aliyekaa na wewe labda wiki si alichoka kabisa