Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #21
Paint yako ni nini hasa?Yule ustaadhi aliyempa mimba mwanafuwa form two Zanzibar ni kweli au ulongo?
Uko poa my🤣🤣🤣🙌🏿
Salama Kabisa nduguUko poa my
Chief wapo huru kula popote pale ilimradi isiwe hadharani,,,,Kwa nini watengewe sehemu maalumu za kula? Raia wasiofunga wanapaswa kuwa huru kula mahali popote.
Pamoja sanaSalama Kabisa ndugu
Yaan uliangalia kabisa duh we noma sanaDaa,huyu mwamba kwenye ile video alikuwa anageuzwageuzwa na yule dogo kama kambale kikaangioni
🙏🙏🙏Mleta uzi weka namba yako nikutumie chochote.
Wewe ni moja ya waislam wanaojenga hoja kwa staha bila kufata mafundisho potofu ya wale mashekhe wapenda shari(wanakera sana wale).
NB: Heshimu tamaduni ulizozikuta.
Wanzibar wala hawamfuatilii mtu kama kapika,kala,kafunga laa!Hivi mtu ukifunga kivyako na imani yako kwanini tena ufuatilie mtu asiyefunga kama kapika, amekula, amelia wapi? Ni faragha au siyo faragha?
Kufunga ni ibada huwezi kumlazimisha mtu kufanya ibada
Waislamu acheni uchokozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako sijaielewa maana kama umejiongelesha mwenyewe hiviYaani mtizamo wako na wazanzibar baadhi wanaounga mkono msimamo huo,hauna tofauti na mtu aseme :mtaani kwao wao wameamua kusisitiza watoto wadogo wa kike kuvalishwa suruali ngumu za jeans ili wao wanaume wasiwatamani na kuwabaka"
Sasa wenye akili wanabaki kushangaa nia ya kubaka mtoto au kula ukiwa umefunga,inatokea machoni ama tumboni na kiunoni???
Kama ni tumboni na kiunoni basi jeans hazitazuia watoto kubakwa na wala kutoona hakutafanya watu kuwa waislam zaidi kwa kufunga.
Dini hizi zote zinaharibu watu kwa namna yake kila moja ila muislam mjinga ni janga katika dunia hii.
Kwanza hakuna ibada ya kulazimishana, ibada ya funga ni kati ya mja na mola wake tu,,, naweza sema nimefunga lkn sijafunga na huwezi kunijua,,, kwahiyo sio kweli kwamba watu wanalazomishwa kufunga.Huu ubaguzi na kulazimisha Imani kwa Zanzibar ulianza zamani sana, Imani ya mwengine unaingilia uhuru wa mwengine, watu wanafungishwa kwa lazima watake wasitake, iliwahi kutokezea kuna kipindi watu walikua wanafatwa hadi ndani wamejifungia wanakula wanakamatwa. Kipindi hichi cha Ramadhani kwa watu walinzi wa usalama wa raia ni dili kwao, maana wanavamia watu kisingizio wanakula wanawekwa ndani kutoka ni chapaa.
Kisa cha wamasai, ni ubaguzi dhahiri shahiri, wamekua Zanzibar kwa miongo mingi sana sasa na wamekua niwalinzi waaminifu kwa mahoteli visiwani, haijawi hata siku moja kutokea fujo, hawataki kuwaambia ukweli waliwafanya kitu gani hawa wamasai hadi wakawapiga watu fimbo, kwa ufupi walichokozwa, ila reaction ya waserekali ikawa ni kubwa kuliko mfano.
Unaweza kushangaa Zanzibar, walevi (wanywaji) wanaonekana hawafai zaidi ya mabaradhuli, wanatembea huru kabisa na hakuna hata mmoja anakemea, utasikia wakisema aaaaaa ndo sio rizki huyoooo, uliza yule afande yuko wapi? ( huru na hana hatia).
Imani thabiti ni kishinda vile vibavyoweza kuvunja Imani na sio kulazimisha wengine watii imani yako.
It's not true at all chief,,, they are being advised to eat in private and not publicIts unfortunate that Christians are being 'held hostage' for using their religious freedom by eating their food in Zbar.
😒 Mara moja tuYaan uliangalia kabisa duh we noma sana
Kwa kweli nyuzi kuhusu zanzibar zimekuwa nyingi aisee. Halafu cha kushangaza kila mwaka yanajirudia mwasuala yale yale kuhusu zanzibar kula hadharani, sijui watu hawajifunzi au ndio unafk tuMkuu usipate tabu ,hapo utajua watanzani ni mbumbumbu sana kwanza video ya miaka sita nyuma.
Cha pili CCM wanashangalia hapa ,just imagine ile report ya CAG ya jana leo nyuzi hazitembei, wamehamia kwenye wazenji.
Nchi ina ujinga sana ,yaani kuna jamaa leo katweet kama mara 20 kote katukana waislamu badala ya wazanzibar ,mpaka mda huu CCM wanashangalia hawa watu wapo busy .
Kesho baada ya matokeo ya leo ya simba vs Al ahly patakuwa na mjadala mwingine kabisa 😁😁hao ndio watanzania.
Ile ishu ya joshua Mollel ilikaaa siku mbili kimya ,palikuwa na watu wanataka kwenda kupambana sijui wameishia wapi?