Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

Weka picha na CV yakoNdio ninazo!
Weka picha na CV yako
Leta shahidi moja kutoka kila mkoa wa TZ bara kukuunga mkono
Ah Bi Tausi hata sijui unahitaji mchango gani maana swali umelilenga kwa kina kaka moja kwa moja ...........Labda nijaribu
.............Kaka yangu mie hana sifa hizo wifi![/QUOTE]
Maiwi.... ( hebu jitahidi basi mpigie debe huenda anazo...)
Weka picha na CV yako
Leta shahidi moja kutoka kila mkoa wa TZ bara kukuunga mkono
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)
PM NAH!
Mambo hazarani..
Duh, ishakuwa kama tendwa
Unadhani kutafuta mtu wa kuishi naye maisha mchezo? Huyu wa Tendwa maximum ni miaka kumi na mnatembea tanzania bara na visiwani kupata supporters na kutumia pesa za wavuja jasho kuhakiki! Sitaki kubahatisha....Nataka nianze kwa mguu sahihi eti mwenzenu.
Jamani...
way to go girl!wanapenda PM sababu ni wahuniii!,ndio maana tunapukutika na ukimwi kwa sababu ya kutaka kuficha kila kitu...mambo yote hadharani..ngoja niwaone wakaka wa humu watakavyojifaragua hahaha
way to go girl!wanapenda PM sababu ni wahuniii!,ndio maana tunapukutika na ukimwi kwa sababu ya kutaka kuficha kila kitu...mambo yote hadharani..ngoja niwaone wakaka wa humu watakavyojifaragua hahaha
With PM you get intimate knowledge of the person. Who in their right mind would put their business in public like this? This is where you set yourself up to be lied to. Keep on....