My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?

My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?

tengeneza wa kwako ndo jibu waliopo barabarani wote wako hivo
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

You are not very serious! Have you ever heard of theory of relativity?
Mwenye pesa kuzidi......kumzidi nani? Slaa, Bill Gates?....
Mwenye akili nyingi sana.....kuliko nani? Einstein?....
 
You are not very serious! Have you ever heard of theory of relativity?
Mwenye pesa kuzidi......kumzidi nani? Slaa, Bill Gates?....
Mwenye akili nyingi sana.....kuliko nani? Einstein?....

Matarese una mambo
 
I m sorry my dear but i think your dream is a fantasy magolia, in todays life it is next to impossible to get such a man.And I also think that you are not yet ready for marriage due to the conditions laid there.How can a serious man go around the whole country just because of you.When you are ready for marriage you wont even consider such conditions and you will not even believe how the things will be going.By the way I have all the qualities above there(exept kupendwa na kila mwanamke) and not yet married but the way you make your conversations you dont fit my choice.I wish you all the best in your quest and god bless you in finding a sweetable Mr Right.But REMEMBER,there is a swahili say states that kuchamba kwingi mwisho utatoka na.............!
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

naona mimi naweza kukufaa kama ukiwa na subira
ili niweze kupunguza hiyo sifa ya kwenye red
ili zishuke hadi kiwango kitakachokufanya uwe umeridhika.

tatizo langu kubwa ni jee mimi nitakupenda? nisije punguza
mkwanja wangu buree halafu naishia kutokukupenda
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)
-sipendi kushindania mwanaume(in love and war all is fair,ukipenda kiukweli utapambana usipoteze)
-sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke(mmh sasa huyo asiyetamaniwa na mtu mwingine wa kazi gani,atakuwa na sura ya nyani?)
-sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi(money can't bring happiness but it can certainly make life comfortable au hujipendi Tausi?)
-sipendi mwanaume mwenye akili nyingi( lol unataka uolewe na zuzu,ukimpata huyo jf home of great thinkers ataingia kweli na ku share idea na wewe au unataka uwe unashare na kina Masanilo,Msanii,et al,waume za watu hao ati!)
-sipendi mwanaume mwenye macho mia mia(jicho halina pazia bibie na furaha ya macho kuona!)
je wewe ni mwenye sifa hizo? mwanaume rijali na aliyekamilika atakuwa na 90% ya sifa hizo,huyo unayemtaka nasikia anapatikana sayari ya Jupiter ooops hapana Neptune!
 
Masakiiii! ebana nafurahisha kweli! gud trik.Yeye amekuelewa kua huna hizo sifa.
 
sipendi kushindania mwanaume
sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

labda tuambie kwako wewe mwanaume mwenye pesa nyingi ni yupi ??? Halafu mwenye akili nyingi ni yupi pia ???
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

Weka kwanza sifa zako ndo ukaribishe wanJF kuchangia kama ww jini tutajuaje?????????
 
sipendi kushindania mwanaume.... So unaogopa ushindani..una-viwango duni
sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke..... Kitu kizuri kula na nduguyo so wewe ni mchoyo maana hata mama yake mzazi na dada zake wasimpende..hovyoooo
sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi[/u]...pesa za kuzidi kiasi gani?...pesa sabuni ya roho na penzi ladha yake iwepo pesa..au unataka uwe-unachakachuliwa kwa kigezo cha kumsaidia mmeo maisha eti hana pesa
sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri....akili sio chanzo cha kiburi na jeuri...jeuri inatokana na mtu unayemfanyia..so unaonekana ni mjeuri weye na kama akili sio nyingi vile hapo upstairz kwako
sipendi mwanaume mwenye macho mia mia..... Jitahidi kusoma saikolojia za wanaume wote ndivyo tulivyo... Ila ukipata kipofu atakufaa zaidi maana hata macho hayo mawili alokuwa nayo hayaoni tena
je wewe ni mwenye sifa hizo?.... Sina sifa hizo ulizozitaja maana zinakiuka maadili na pia ni za kibaguzi
kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

naamini umenisoma vizuri ..au sio??
 
Sasa hupendi mwanaume mwenye akili nyingi kwa maana unataka mambumbumbu sio.
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

Hakuna mwanaume asiyeshindaniwa vinginevyo mfu...Mi pesa ninazo za kupungua
akili zangu nitakukabidhi uzidhibiti (siyo kwa limbwata!) ili nisiwe jeuri
macho ninayo hayafiki mia mia. :doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

please tueleze ukimpata mtu ye yote kutoka JF
Dreams can come true lol:smile: all the best :smile:
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)
Wewe sifa zako ni zipi?
 
Tausi,hujadhamiria kumpata!! Hata hivyo, nshafeli hapo!!:tape:
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

Tausi najua unapenda malofa ... no problem, I can be your lofa for now .............. si unajua tena ....... after sometyme akili inarudi ..... wanawake bwana mwishoe mtajiumbia wakwenu ............ lakini kuna madildo unachagua size, sura na kadhali ..........:bowl:
 
Back
Top Bottom