Hivi naombeni kuuliza wajameni..Kupenda mtu anaamua au hutokea tu bila mtu kupanga wala kujijua? na hivi ikitokea uliyempenda anapendwa na wanawake/wanaume wengi unaacha kumpenda huta pambana ili awe wako?
Mosha tena?we mosha ww! mama yake matesha utamwacha?
mie nilijua umeweka picha bana tumuone alivyojazia jazia kifuani na alivyo handsome......kumbe unatafuta hapa JF,kazana mwaya ...
mie nilijua umeweka picha bana tumuone alivyojazia jazia kifuani na alivyo handsome......kumbe unatafuta hapa JF,kazana mwaya ...
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)
Saitama_kein ana zote bahati mbaya umechelewa kidogo nilikwisha tangaza kutafuta mchumba humu ndani hivyo sifa namba 2 sina.....naweza kuleta CV?? Huwezi jua ati.....Sipendi kushindania mwanaume Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia. Je wewe ni mwenye sifa hizo? Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)
Hivi naombeni kuuliza wajameni..Kupenda mtu anaamua au hutokea tu bila mtu kupanga wala kujijua? na hivi ikitokea uliyempenda anapendwa na wanawake/wanaume wengi unaacha kumpenda huta pambana ili awe wako?
He! mbona una dandia sredi ya mwenzio?nami natafuta mwenza
Asiwe mnene asiwe mwembamba, aliyekuwa hakufika chuoni, kwani atajuwa siri zangu, ambae ameshaishi kijijini
Roselyne1
hizo sifa unazohitaji wewe (Hapo kwenye nyekundu) mimi ninazo, maana naona zako ni tofauti kidogo na za Tausi Mzalendo, sasa sijuhi niku PM ama? please advise
in public i b'liv you get to know a person even better,besides wengine tumezoea kuonyesha affections in public!
and how can you consider lying to me,knowing so and so knows about you,and probaby will tell me your lies???
He! mbona una dandia sredi ya mwenzio?
GS...Umesema kitu cha maana.Kupenda kunatofautiana baina ya mtu na mtu.Kuna kupenda umuonapo mtu mara moja..Love at first sight; Kuna kupenda kunakotokana na mchakato fulani - huku huja pole pole..... kuna ulafi/matamanio ya muda mfupi..infatuation - haya ni mapenzi ya nguvu ya soda na utafanya makosa sana kuoana na mtu ukiwa umekumbwa na penzi hili utajuta sana.
Mapenzi huweza kuishia kwenye ndoa au kuisha tu bila ndoa.Kama nia ni ndoa basi mtu nadhani huna budi uwe na vipimo vya yule unayetaka kuishi naye maisha yako yote.Kuanzia tabia za mtu, na hulka nyingine.Tabia ni kitu muhimu sana maana kama mtu ana tabia zisizokubalika kama malaria ujue mwisho wake ni mbaya.
Huyu Bibie Tausi, japo kaja na mada yenye mzaha ndani yake, huenda ana kitu anataka kutufundisha.Hebu tuendelee kusoma labda tutakielewa.Namtakia kila la kheri kwenye zoezi hili la kujipatia mwenza wa maisha.
Saitama_kein ana zote bahati mbaya umechelewa kidogo nilikwisha tangaza kutafuta mchumba humu ndani hivyo sifa namba 2 sina.....naweza kuleta CV?? Huwezi jua ati.....
Mkuranga kwetu tunaamini figa moja haliinjiki chungu atiii.....kama umejazia jazia kibaunsa baunsa hivi holla back!....:hug::hug:
Y wud so n so tell u nthng abt sum1?????????...........................
Hata huko mkuranga hawajitangaz sugar au ndo umekolea sanaaaaaaaaa