My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?

tengeneza wa kwako ndo jibu waliopo barabarani wote wako hivo
 

You are not very serious! Have you ever heard of theory of relativity?
Mwenye pesa kuzidi......kumzidi nani? Slaa, Bill Gates?....
Mwenye akili nyingi sana.....kuliko nani? Einstein?....
 
You are not very serious! Have you ever heard of theory of relativity?
Mwenye pesa kuzidi......kumzidi nani? Slaa, Bill Gates?....
Mwenye akili nyingi sana.....kuliko nani? Einstein?....


Matarese una mambo
 
I m sorry my dear but i think your dream is a fantasy magolia, in todays life it is next to impossible to get such a man.And I also think that you are not yet ready for marriage due to the conditions laid there.How can a serious man go around the whole country just because of you.When you are ready for marriage you wont even consider such conditions and you will not even believe how the things will be going.By the way I have all the qualities above there(exept kupendwa na kila mwanamke) and not yet married but the way you make your conversations you dont fit my choice.I wish you all the best in your quest and god bless you in finding a sweetable Mr Right.But REMEMBER,there is a swahili say states that kuchamba kwingi mwisho utatoka na.............!
 

naona mimi naweza kukufaa kama ukiwa na subira
ili niweze kupunguza hiyo sifa ya kwenye red
ili zishuke hadi kiwango kitakachokufanya uwe umeridhika.

tatizo langu kubwa ni jee mimi nitakupenda? nisije punguza
mkwanja wangu buree halafu naishia kutokukupenda
 
-sipendi kushindania mwanaume(in love and war all is fair,ukipenda kiukweli utapambana usipoteze)
-sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke(mmh sasa huyo asiyetamaniwa na mtu mwingine wa kazi gani,atakuwa na sura ya nyani?)
-sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi(money can't bring happiness but it can certainly make life comfortable au hujipendi Tausi?)
-sipendi mwanaume mwenye akili nyingi( lol unataka uolewe na zuzu,ukimpata huyo jf home of great thinkers ataingia kweli na ku share idea na wewe au unataka uwe unashare na kina Masanilo,Msanii,et al,waume za watu hao ati!)
-sipendi mwanaume mwenye macho mia mia(jicho halina pazia bibie na furaha ya macho kuona!)
je wewe ni mwenye sifa hizo? mwanaume rijali na aliyekamilika atakuwa na 90% ya sifa hizo,huyo unayemtaka nasikia anapatikana sayari ya Jupiter ooops hapana Neptune!
 
Masakiiii! ebana nafurahisha kweli! gud trik.Yeye amekuelewa kua huna hizo sifa.
 

labda tuambie kwako wewe mwanaume mwenye pesa nyingi ni yupi ??? Halafu mwenye akili nyingi ni yupi pia ???
 
Ndio ninazo ila tuwasiliane kwa PM
 

Weka kwanza sifa zako ndo ukaribishe wanJF kuchangia kama ww jini tutajuaje?????????
 

naamini umenisoma vizuri ..au sio??
 
Sasa hupendi mwanaume mwenye akili nyingi kwa maana unataka mambumbumbu sio.
 

Hakuna mwanaume asiyeshindaniwa vinginevyo mfu...Mi pesa ninazo za kupungua
akili zangu nitakukabidhi uzidhibiti (siyo kwa limbwata!) ili nisiwe jeuri
macho ninayo hayafiki mia mia. :doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 

please tueleze ukimpata mtu ye yote kutoka JF
Dreams can come true lol:smile: all the best :smile:
 
Wewe sifa zako ni zipi?
 
Tausi,hujadhamiria kumpata!! Hata hivyo, nshafeli hapo!!:tape:
 

Tausi najua unapenda malofa ... no problem, I can be your lofa for now .............. si unajua tena ....... after sometyme akili inarudi ..... wanawake bwana mwishoe mtajiumbia wakwenu ............ lakini kuna madildo unachagua size, sura na kadhali ..........:bowl:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…