My ex anataka kuvunja uchumba wangu.

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
Salamu wanajamvi.polen na shughul za maisha kwa wale wanaoumwa polen sana na Mungu awawekee mkono mpone haraka.Polen Watanzania wote na wapenda aman wa nchi hii ktk hali hii ngumu ya vururgu tunayoipitia Mungu atuepushe na majanga AMEN.
BACK TO MADA:
kama miaka mitatu iliyopita nilikuwa na msichana tulieachana bila ugomvi ila kutokana na umbali baada ya mimi kwenda mkoa mwingine kikaz.tulipoteza mawasiliano na kila mtu akaendelea na maisha mengine kivyake.kwa upande wangu nilipata msichana mwingine na kuanzisha mahusiano na mpaka sasa ni mchumba wangu na tushatambulishana kwa wazaz.
mwaka huu nimepata likizo na kurud mkoan kwetu ambapo nilikutana na my-EX akanambia bado ananipenda na anataka turudishe mapenz nilimkatalia na kumweleza kuwa ninamchumba lakin akasema ameumizwa na wanaume aliokuwa nao hapo nyuma so nikimkataa hato olewa coz mm pekee ndo chaguo lake.MPAKA sasa namkataa ila amekuwa msumbufu sana mpaka nyumban wamejua.Leo hii amekuja na ombi moja kuwa kama sitaki kuwa nae bas ANAOMBA KUZAA NA MM.
amesema nikikubal kumpa mimba bas hatonisumbua tena.PLZ WAKUBWA NISAIDIEN.nawasilisha......
 
wewe achana nae huyo ukizaa nae ndio atakuganda balaaaa. wewe mfyatue live kabisa mbele ya wazazi kuwa mie sikutaki na sitakuoa.....vijana nyie bwana mnakuwa na huruma sana kwa hawa mabinti. wao wanakutosa na matusi juu sasa wewe unajidai kumfikiria. piga chini kwa kishindo kabisa. au kama unaweza muulize nipe tigo kama kweli wanipenda
 
Hapo alipo anakusumbua hamna mkataba wala chochote anachokudai! Wategemea nini akianza kukudai matunzo ya mwanao! kwa kifupi amekuona -----, anataka akubebeshe mzigo! na ukilala nae tu ujue kakusakizia mimba huyoo
 
Kama shida yake ni mtoto mwambie akapandikize mimba asikusumbue!
 
weraaaaaaaaaaaaaaaaaa kama alikupenda mbona hakukusubiri hadi urudi hata kama ni baada ya miaka 10,ametembeza kitumbua chake kimeingia mchanga ndo anatafuta maponeo kwako hebu zimua ubongo wako kwa ndofu ufanye maamuzi ya busara bhana hizo akili za kushika pembe achana nazo.tupa kuleeeeeeeeeee
 
asante ndugu ila hapo nilipo bold situmii kabisa
 
Hapo alipo anakusumbua hamna mkataba wala chochote anachokudai! Wategemea nini akianza kukudai matunzo ya mwanao! kwa kifupi amekuona -----, anataka akubebeshe mzigo! na ukilala nae tu ujue kakusakizia mimba huyoo
thnx .nimekusikia
 
we nawe ni kicheche, ukihamia mkoa mwingine utaacha na huyo tena. Hakikisha kila siku transaction ime commit ndio uanze nyingine
 
..amesema nikikubal kumpa mimba bas hatonisumbua tena.PLZ WAKUBWA NISAIDIEN.nawasilisha......

Don't try that at home buddy.
Usikubali kuzaa naye, itakugharimu sana mbele ya safari. Mgande mchumba wako mfunge ndoa haraka, kama mshafanya maanalizi ili uepukane na vishawishi
 
thnx much
 
we nawe ni kicheche, ukihamia mkoa mwingine utaacha na huyo tena. Hakikisha kila siku transaction ime commit ndio uanze nyingine
labda ujanielewa.niliyenae ni mchumba wangu na tunatarajia kufunga ndoa.
 
Una mpa time sana yakukuzowea huyo mdada,kwani haelewi maana ya kua wewe unamtu? na huyo mtoto anae mtaka kwako jee wewe mwenyewe mtoa mbegu uko tayari kumsaliti mpenzi wako kwa ajili ya huyo mdada? Tumia akili yakiume
atakuharibia mapenzi yako ushangae, mwambie kua haiwezekani na wacha kumzowea kama maji huyo mdada mwambie ajipange..
 
Don't try that at home buddy.
Usikubali kuzaa naye, itakugharimu sana mbele ya safari. Mgande mchumba wako mfunge ndoa haraka, kama mshafanya maanalizi ili uepukane na vishawishi
asante sana.ntafanyia kaz ushaur wako.
 
thnx.sipo tiyar kuwa na mtoto nje ya ndoa.ila hapa naomba ushaur jinsi ya kumuepuka huyu.
 
thnx.sipo tiyar kuwa na mtoto nje ya ndoa.ila hapa naomba ushaur jinsi ya kumuepuka huyu.
Mueleze ukweli kua jambo analotaka huwezi kumpa na asikuzowee kwa mazungumzo hayo full stop.
 

This is your private business. Hayatuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…