Salamu wanajamvi.polen na shughul za maisha kwa wale wanaoumwa polen sana na Mungu awawekee mkono mpone haraka.Polen Watanzania wote na wapenda aman wa nchi hii ktk hali hii ngumu ya vururgu tunayoipitia Mungu atuepushe na majanga AMEN.
BACK TO MADA:
kama miaka mitatu iliyopita nilikuwa na msichana tulieachana bila ugomvi ila kutokana na umbali baada ya mimi kwenda mkoa mwingine kikaz.tulipoteza mawasiliano na kila mtu akaendelea na maisha mengine kivyake.kwa upande wangu nilipata msichana mwingine na kuanzisha mahusiano na mpaka sasa ni mchumba wangu na tushatambulishana kwa wazaz.
mwaka huu nimepata likizo na kurud mkoan kwetu ambapo nilikutana na my-EX akanambia bado ananipenda na anataka turudishe mapenz nilimkatalia na kumweleza kuwa ninamchumba lakin akasema ameumizwa na wanaume aliokuwa nao hapo nyuma so nikimkataa hato olewa coz mm pekee ndo chaguo lake.MPAKA sasa namkataa ila amekuwa msumbufu sana mpaka nyumban wamejua.Leo hii amekuja na ombi moja kuwa kama sitaki kuwa nae bas ANAOMBA KUZAA NA MM.
amesema nikikubal kumpa mimba bas hatonisumbua tena.PLZ WAKUBWA NISAIDIEN.nawasilisha......