wakati fulani muwe wakweli ninyi wakinamama!.....
no wonder...!unamuita eksi...again unaintertein chats za mapenzi...na vocha unamwomba akutumie.....!
king'asti hilo neno "make him your past" lina ujumbe mzito sana.....!mwenye kuling'amua naomba ashike neno
Du we jasiri kweli kuna mtu aliniambia fundi cherehani ni nomaa kwa game lol hata mie nakusikitia yani from 5* hotel to guest house room? Khaaaaa
kwani mliachana katika mazingira yapi, if i may ask? probably ulimpiga kibuti wakati bado anakupenda..
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend

thats true cuz the way anabehave huwezi amini ni mtu anae approach 40's jamani!
hayo hayana mana kama sina furaha. Its gud to be in relation sio kwa sababu nalala cjui wapi, bali kwa sababu nampenda! Nampenda sn fund cherehani wangu!
Kweli huyo sio mwanaume.Mdharau na mpuuze,kinamchomfanya ajisikie hovyo ni wewe kuwa na mtu anaedhani wa chini.Sijui itachukua muda gani mpaka watu wajue kuwa thamani ya mtu haiko nje bali ndani.Anajiumiza bure yeye akubali matokeo tu!