My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

Usijali ni mambo madogo sana hayo. We kaa kimya usijibu wala kufuta sms zake, zita kusaidia baadaye. Kuweka picha zako humu haito msaidia.
 
Du we jasiri kweli kuna mtu aliniambia fundi cherehani ni nomaa kwa game lol hata mie nakusikitia yani from 5* hotel to guest house room? Khaaaaa
 
Wewe huwa unanielewaga, ila usini-hack tena banaa!

Anaona kuna loophole anachekelewa na simu ikipigwa analegezewa sauti!
wakati fulani muwe wakweli ninyi wakinamama!.....

no wonder...!unamuita eksi...again unaintertein chats za mapenzi...na vocha unamwomba akutumie.....!

king'asti hilo neno "make him your past" lina ujumbe mzito sana.....!mwenye kuling'amua naomba ashike neno
 
Du we jasiri kweli kuna mtu aliniambia fundi cherehani ni nomaa kwa game lol hata mie nakusikitia yani from 5* hotel to guest house room? Khaaaaa

hayo hayana mana kama sina furaha. Its gud to be in relation sio kwa sababu nalala cjui wapi, bali kwa sababu nampenda! Nampenda sn fund cherehani wangu!
 
Wanaume hawakubali kuachwa na ikitokea hivo basi itamgarimu akuharibie haswa akiona unamtu mwenye kujiweza na mko na furaha atafanya juu chini haichukue happiness yako. cha kufanya ongea na boyfriend wako wa sasa muelezee situation ilivo then yeye atajua namna ya kukusaidia okay, mpuuze huyo X wako ni limbukeni wa mapenzi na ni mgombanishi.
 
kwani mliachana katika mazingira yapi, if i may ask? probably ulimpiga kibuti wakati bado anakupenda..
 
Kama unasma piga kitabu maana hujatulia umri huu una X-boyfriend tena ana mke na hawala kulala kwake mahotelini na guest
Tulia upate mume wa kukuweka ndani ya nyumba sio guest
 
kwani mliachana katika mazingira yapi, if i may ask? probably ulimpiga kibuti wakati bado anakupenda..

may be ila hakuonesha dalili za kunipenda tena. Nimeona amepost humu, anadai alilewa ndo mana akanipigia! He is so pathetic jamani!
 
Halafu nasikia mafundi cherehani huwa wamebarikiwa uwezo wa hatari kwenye 6x6
 
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend

Du nilishituka nikifikiri amepooza yaani jongoo hapandi mtungi. Kwa hilo jengine ni kuwa kila mtu ana njia yake ya kujieleza. Mapenzi yangekuwepo basi ungefurahia sera zake lakini kwa vile kakutenda una haki lakini sio kumtowa ujanadume!
 
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend

Mazungumzo baada ya habari!----» enjoy!
 
Niliewa tofauti hiyo heading, duh!!..

Just ignore him. Hawezi fanya kitu, anatapatapa tu!! Akizidi mpeleke polisi
 
hayo hayana mana kama sina furaha. Its gud to be in relation sio kwa sababu nalala cjui wapi, bali kwa sababu nampenda! Nampenda sn fund cherehani wangu!

woow.
Binadamu wa hivi wako wachache sijui kama wanafika 20.
 
na wewe mtishie.................mwambie hata wewe unaijua photoshop........................

Nina suti yangu nitaileta kwa shemeji anirekebishie kidogo.......................!
 
Kweli huyo sio mwanaume.Mdharau na mpuuze,kinamchomfanya ajisikie hovyo ni wewe kuwa na mtu anaedhani wa chini.Sijui itachukua muda gani mpaka watu wajue kuwa thamani ya mtu haiko nje bali ndani.Anajiumiza bure yeye akubali matokeo tu!

Kweli kabisa. Wanaume wamezoea kuona wakimwagwa kisa wanaume wenzao wenye pesa, ila huyu dada kafanya tofauti na iko kinamuuma huyo ex wake mbaya. Wewe dada ni wa pekee sana hongera.
 
m2 mkiachana akaendelea kukusumbua dat minz u have unique characters, flavour, mautundu anayoyamiss toka kwako...4 dat mata anakupenda na alitaka mrushane roho....hebu mrudie, hatakuzingua tena na atakuwa na adabu huyooo...ila kama chapombe sana, dnt go back 2 him.
 
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend

Ni vema ukawa kimya sana. Usikurupuke kujibu kila kitu
 
Back
Top Bottom