vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Mods wakiamua kuweka mambo hadharani tutashuhudia maajabuhili suala la kubadili jinsia naona limeshaanza kupata wateja!
Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
mambo huwa yanaanza taratibu taratibu kama mzaha mwisho wasiku tunaanza kuulizana kimemkumba nini kijana mwenzetu wa kiumehili suala la kubadili jinsia naona limeshaanza kupata wateja!
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Kwahiyo uliona kama tunafaidi sanaa ndo akaamua na wewe kujifanya ke???
Sijamuelewa kabisa huyu jamaa[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
jamaa katuzibia riziki aisee mda wote pm zipo kimya kumbe wanaume wameenda kwa dume mwenzaoUkute miss chagga au Evelyn Salt walikutongoza kwa zile ID yake ya kiume nao.
Ha haha,!!!Maandalizi ya kutumbuliwa majipu? Scree shot yangu tasavali usiiweke
ha haha mbaya zaidi ukute mods naye alitumpia ndoano ha hahaHahahahahahahhaha tutumiane pm jamani mods hawatakuacha
jamaa katuzibia riziki aisee mda wote pm zipo kimya kumbe wanaume wameenda kwa dume mwenzao