Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lako ilikuwa ni nini hasa....Walahi iko siku utapakatwa,halafu uingiziwe.......unapenda kuwa mwanamke?Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
ha ahaha hapo ndiyo watakapoumia zaidiDah, wewe leo umenichekesha sana.
Ha ha ha, ukute wamemtumia na nauli kabisa za kuja eneo la kukutana.
Hahahahaaa umeona eeh?Hahahahahahahhaha tutumiane pm jamani mods hawatakuacha
ha ahaha hapo ndiyo watakapoumia zaidi
Nashukuru Mungu SIJAKUTONGOZA Kwani Na Hivi Nina SURA MBAYA Halafu NGUMU Sijui Kama Ungeweka Humu NYAGO Langu Ingekuwaje. Mungu Mkubwa!
Ulifanya uamuzi wa busara ULIOTUKUKA kutokumwaga madini kwa jikedume hili😀😀
Hahahahaaa umeona eeh?
Ngoja nimuwahi PM mwenzangu..
Huu ubuyu mzito.
Eeh Mungu saidia babe asiwe kwenye list,maana hawa wanaume nao sio kabisa.
mmh sijui kama watampata tena aiseeWataumia au watamtafute alipe, mla huliwa.
Hahahahaaa tatizo kaka yangu una ID's 100,uzuri zote nazijua.Nashukuru Mungu SIJAKUTONGOZA Kwani Na Hivi Nina SURA MBAYA Halafu NGUMU Sijui Kama Ungeweka Humu NYAGO Langu Ingekuwaje. Mungu Mkubwa!
Chief.... Naomba niwe mgeni wako wa heshima PM kabla hujayaanika hayo mambo hapa jukwaani.Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
Hahahahaaa tatizo kaka yangu una ID's 100,uzuri zote nazijua.
Subiri zikitajwa tu,nitakutambua.
😛😛😛
mmh sijui kama watampata tena aisee
tabia mbaya sana sijui alikuwa nataka kujaribu nini?Dah, ila ni fedheha kwa mwanaume kujibadili jinsia halafu unautangazia uma.
Tushamlamba huyo....!?!!Watakua wameshakulamba,
Siamini kama umeachwa hivi hivi,
Ama kweli jinsia ya kiume ipo mbioni kupotea.