Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
Mi nipo kundi la mapenzi ya dhati!Wewe upo kundi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nipo kundi la mapenzi ya dhati!Wewe upo kundi gani?
kama ni huyo umeandikiwa mtakutana tu, maadam mkumbukane tummh hongera xana mamito.......................... nakuonea raha mmh.
afu na mm nimemuona mmoja leo ila kwenye jam ss 2kaangaliana kwa macho fulan iv ya kusemezana mioya
sa cjui ndio huyoo........ ss kwa coincidance kama yangu nitamuona wap tena jaman mmh.
Ngoma mmepima?
kweli ahsante, na kila shetani na mbuyu wake