My Father. Our Hero. Who is your Hero?

Ule ni uzi wangu mkuu, unaoelezea life langu tokea ni home, nilipotoroka home hadi siku narudi home. Na yule mzee niliyekutana nae after long hustling life, yule ndio Baba yangu ambae jana nilikuwanaongea nae, na ambaye namzungumzia kwenye huu uzi.

Kama umeumiss, basi huu hapa chini unaweza upitia tena.

My Father, my hero.

 
Nawakubali sana wazee wangu. Ni watu ambao wako very social and friendly kwasisi watoto wao, kuanzia kwa mtoto wa kwanza hadi wa mwisho.
 
I am my own hero, sidhani hata kama naweza kuelezea why ya Mungu mengi jamani
 
Dah yule mwanamke alipitia mateso mengi sana kwa ajili yetu apumzike kwa amani.

Kwani mama yangu hafai kuwa shujaa wangu ebu acha hizo!
Pole sana best mi nikajua bado yupo RIP.
 
Nawaonea wivu wenye baba,sikuwahi kuwaza mshua agesepa mapema hivi
Mliopoteza wazazi mmewezaje Ku handle situation?
Ni maisha haya tu mkuu tuwe ngangari siku zote hope ipo siku tutaonana nao tena baada ya sisi kuwafwata huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…