My Father. Our Hero. Who is your Hero?

My Father. Our Hero. Who is your Hero?

Kwa leo napita kimya ila ni best inspirational uzi kwa mwaka 2021.

Kichwa cha uzi wakati naanza kusoma huu uzi nikakumbuka kuna uzi wa mshikaji mmoja alikimbia nyumbani akapambana na mambo yakaenda ndivyo sivyo ndipo alipokutana na mshua wake kwenye msoto na mshua akamkazia hadi hatakaporudi home.

Ila ni moja ya nyuzi bora sana pia yenye maudhuhi kama haya.
Ule ni uzi wangu mkuu, unaoelezea life langu tokea ni home, nilipotoroka home hadi siku narudi home. Na yule mzee niliyekutana nae after long hustling life, yule ndio Baba yangu ambae jana nilikuwanaongea nae, na ambaye namzungumzia kwenye huu uzi.

Kama umeumiss, basi huu hapa chini unaweza upitia tena.

My Father, my hero.

 
It is very interesting to see,mtoto anawapenda wazazi wake wote wawili this much

Hii haikutokea kwa bahati mbaya,they earned it,they worked so hard to love you guys

Now wanavuna upendo

To be honest ulipata wazazi waliokupenda ni bahati sana....trust me,wazazi wengi,especially baba,most or not,watoto wakikua hua hawawapendi sababu hawa wababa walikua na very bad parenting skills on their kids and families.

I'm so impressed to see this,to most hii ni very rare!
Nawakubali sana wazee wangu. Ni watu ambao wako very social and friendly kwasisi watoto wao, kuanzia kwa mtoto wa kwanza hadi wa mwisho.
 
I am my own hero, sidhani hata kama naweza kuelezea why ya Mungu mengi jamani
 
Dah yule mwanamke alipitia mateso mengi sana kwa ajili yetu apumzike kwa amani.

Kwani mama yangu hafai kuwa shujaa wangu ebu acha hizo!
Pole sana best mi nikajua bado yupo RIP.
 
Kamanda . Greetings to him.
Mungu akulaze mahala pema [emoji120]. My hero Rest easy my boy Time flies[emoji471][emoji47]
IMG_20200304_151554_333.jpg
 
Nawaonea wivu wenye baba,sikuwahi kuwaza mshua agesepa mapema hivi
Mliopoteza wazazi mmewezaje Ku handle situation?
Ni maisha haya tu mkuu tuwe ngangari siku zote hope ipo siku tutaonana nao tena baada ya sisi kuwafwata huko
 
Back
Top Bottom