AmenI hope one day we will all get what we have been praying for.
Hivi hizo sifa za mume bora mimi sina kwani?[emoji85][emoji85]
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nirudi jandon nikapate mafundisho zaidiAmen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui ila kwa hesabu zangu za haraka haraka nadhani hauna.
Hata ukienda ukarudi nadhani bado tu utakuwa huna[emoji1787] ninazozitaka Mimi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nirudi jandon nikapate mafundisho zaidi
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwa leo napita kimya ila ni best inspirational uzi kwa mwaka 2021.
Kichwa cha uzi wakati naanza kusoma huu uzi nikakumbuka kuna uzi wa mshikaji mmoja alikimbia nyumbani akapambana na mambo yakaenda ndivyo sivyo ndipo alipokutana na mshua wake kwenye msoto na mshua akamkazia hadi hatakaporudi home.
Ila ni moja ya nyuzi bora sana pia yenye maudhuhi kama haya.
[emoji23] nakumbuka huo uzi sema sijui ni wanani. Kama una link naomba.
Hapa?Sijui aisee. Hebu niambie
Ni jambo zuri sana, pale ambapo mzazi wako ndio shujaa wako. Unapoulizwa nani role model wako, you proudly mention your parents.Baba, my hero nashukuru mungu nimechukua kila kitu kutoka kwake,amenifanya nijione shujaa humu duniani...mungu azidi kumpa uthubutu....
Mzee wako inaonekana alikula vidato vya kutosha,Rest easy old boy,Great son of a landMungu akulaze mahala pema [emoji120]. My hero Rest easy my boy Time flies[emoji471][emoji47]View attachment 1698349
Ukija kuniuliza nitakujibu.Hapana, kule [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].
Nimeipenda comment yakoIt is very interesting to see,mtoto anawapenda wazazi wake wote wawili this much
Hii haikutokea kwa bahati mbaya,they earned it,they worked so hard to love you guys
Now wanavuna upendo
To be honest ulipata wazazi waliokupenda ni bahati sana....trust me,wazazi wengi,especially baba,most or not,watoto wakikua hua hawawapendi sababu hawa wababa walikua na very bad parenting skills on their kids and families.
I'm so impressed to see this,to most hii ni very rare!