My Father. Our Hero. Who is your Hero?

My Father. Our Hero. Who is your Hero?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nirudi jandon nikapate mafundisho zaidi

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hata ukienda ukarudi nadhani bado tu utakuwa huna[emoji1787] ninazozitaka Mimi.
Wewe sifa unazo ila nadhani ninazotaka Mimi ndizo hauna.
Unajua Mimi nataka zipi?
 
Kwa leo napita kimya ila ni best inspirational uzi kwa mwaka 2021.

Kichwa cha uzi wakati naanza kusoma huu uzi nikakumbuka kuna uzi wa mshikaji mmoja alikimbia nyumbani akapambana na mambo yakaenda ndivyo sivyo ndipo alipokutana na mshua wake kwenye msoto na mshua akamkazia hadi hatakaporudi home.

Ila ni moja ya nyuzi bora sana pia yenye maudhuhi kama haya.

[emoji23] nakumbuka huo uzi sema sijui ni wanani. Kama una link naomba.
 
[emoji23] nakumbuka huo uzi sema sijui ni wanani. Kama una link naomba.
 
Baba, my hero nashukuru mungu nimechukua kila kitu kutoka kwake,amenifanya nijione shujaa humu duniani...mungu azidi kumpa uthubutu....
 
Baba, my hero nashukuru mungu nimechukua kila kitu kutoka kwake,amenifanya nijione shujaa humu duniani...mungu azidi kumpa uthubutu....
Ni jambo zuri sana, pale ambapo mzazi wako ndio shujaa wako. Unapoulizwa nani role model wako, you proudly mention your parents.
 
It is very interesting to see,mtoto anawapenda wazazi wake wote wawili this much

Hii haikutokea kwa bahati mbaya,they earned it,they worked so hard to love you guys

Now wanavuna upendo

To be honest ulipata wazazi waliokupenda ni bahati sana....trust me,wazazi wengi,especially baba,most or not,watoto wakikua hua hawawapendi sababu hawa wababa walikua na very bad parenting skills on their kids and families.

I'm so impressed to see this,to most hii ni very rare!
Nimeipenda comment yako
 
Back
Top Bottom