Yawezekana ulishampata, ila kwavile hukutaka kubehave kama alivyokuwa mshua ndio maana unahisi hujampata bado....Siku zote naomba nimpate mwanamke mwenye sifa kama Mama yangu,
Aisee Baba alipata mwanamke
My Mother My Hero
Jamani nimempenda babaako[emoji8][emoji8]Analyse Babako nampenda sana.
Napenda sana anavotumia experiential learning kwenye maisha yenu/yako.
Sijasahau habari ya mashamba ya tangawizi.
Kuhusu my Hero mi ni baba yangu pia.
Babangu aliwahi kuniruhusu nikapigane na mvulana.
Alinipiga nikalia, nikarudi nyumbani ninalia.
Akaniuliza kwann unalia, nkasema nimepigwa na fulani!
Akaniambia kwann kila siku unapigwa na unarudi nyumbani unalia, simama!
Nikasimama, akaniambia this time around utapigana.
Nkasema naogopa, yule ni mvulana.
Akaniambia sawa, ila na wewe ni msichana.
Tofauti pekee iliyopo kati ya msichana na mvulana ni the fact kuwa mmoja anavaa kaptura na mwingine anavaa sketi.
Kuanzia leo utakaa kaptura.
Na utaenda kupigana.
Nikavalishwa kaptura, nkarudishwa eneo la tukio.
Akageuza kuniacha (tulikuwa tunakaa maghorofani) kumbe alilaa juu kama balcony hivi anatutizama.
Nkaenda nkaanzisha revenge, nkamchapa bana yule mvulana.
Aseeeeh.
Sijawahi sahau that energy ndani yangu.
Na sijawahi kusahau maneno ya babangu.
Na yamenivusha mahali kwingi mno.
My father my Hero.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] aibu yake mbele ya darasa sio ndogo mkuu, acha tu.Kumbe ndo wewe ulidondosha condom class[emoji16][emoji16][emoji16]
We jamaa ni mapepe vibaya mno
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Asante [emoji120]Pole sana
Kabisa mkuu alikuwa anapiga civil engineering bongo ameijenga vya kutoshaMzee wako inaonekana alikula vidato vya kutosha,Rest easy old boy,Great son of a land
Nawaonea wivu wenye baba,sikuwahi kuwaza mshua agesepa mapema hivi
Mliopoteza wazazi mmewezaje Ku handle situation?
HahahaTuliokulia mikononi mwa watu mbalimbali tunashindwa kujua specific hero ni yupi..
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Auncle ni mama.Yeyote aliyeplay vital role kwa wewe kuwa hapo. Hata kama ni wengi. Just tell us why him/her.