My favourite African musician

My favourite African musician

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,528
Angelique KIDJO-Huyu ananikosha na kibao chake cha Agolo japo ni muda mrefu sana
with husband
marco_and_angelique0807083.jpg


with daughter
image.jpg


Agolo - Angelique Kidjo - YouTube
 
Last edited by a moderator:
LULU -LUTUMBA LUAMBO -2 in 1 na TP OK JAZZ/BANA OK. Fikiria Mabele na Mario. In life and death.
 
Pamoja na kuwa AGOLO ni mzimu katika imani ya kishirikina ya Voodoo na huo wimbo ni wakutukuza huo mzimu sio mbaya kuusikiliza japo lugha iliyo tumika hatuijui kuweza kufafanua maudhui yake.
 
Candidat Mobutu by Franco, wacha kabisa! Hata kama nilikuwa nakula papuchi ukipigwa na acha kwanza ukiisha basi ndio naendelea kuitafuna
 
Naona vijana hamtaji kabisa vibao kama
Mutualite- Peppe Kale
Colonization-Madilu
 
Back
Top Bottom