My favourite local tv to watch

kine

Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
38
Reaction score
6
Channel 10,clouds,itv and mlimani only.they are not bias.
 
Kwenye hizi zote sidhani kama Start TV inampinzani, hasa kipindi chao kile cha asubuhi, msikilizaji na mtazamaji huwa wanaruhusiwa kupiga simu, tena line yao haina jam kama ITV, mkuu jaribu kufuatilia hasa Jumamosi wakati wanachambua magazeti, kuanzia saa 1:30-9:00 hakika roho yako hadi itasuhuzika!
 
mimi napendagga C2C ivi ipogo?
 
Mambo iko TBC1 bana; nyie vipi?
 
afadhali mi siangaliagi kabisa hizi za hapa...
 
mi Sibuka.... hivi hakuna mjanja wa kuanzisha chanel ya mamove tu na burudani kidogo... nafikiri atapata sana watu manake wapenzi wa move tuko kibwena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…