My friend anakanyaga waya usiku wa leo. Nimsaidieje?

mpaka sasa itakua tayari ni too late akipigika ndo atashika adabu kwasababu ya uzinzi
 

Unapanda unachovuna. Mzinifu yoyote nje ya ndoa, ukimwi ni saizi yake. Ajali kazini.
 
hii story hiko kwenye gazeti moja la shigongo! labda shigongo kamwibia jamaa story yake!
 
ooh my god ..hebu tupe tupe update maana ilikuwa jana hiyo...
 
Hadithi za Alinacha, kwani huyo binti ana miaka 3? Usitake kutuletea habaria ya binti mwenye umri wa miaka 25 afu eti alizaliwa na UKIMWI.

Waambie hao hao....
Acha ushamba wewe kwa taarifa yako wapo watu wengi sana waliozaliwa na UKIMWI toka tumboni mwa wazazi wao,na bado wanaishi ,ni kuzingatia masharti ya dawa,,,Wapo wengi sana ndugu yangu wengi mnooooooo
 
Duuh kumbe hampendani wanaume, mwenzio kaingia mkenge hivi sababu ni siri unanyamaza!
 
UPDATE: Nashukuru sana wote waliosikitika pamoja nami. Waliobeza nawaombea yasiwakute. Nasikitika kuwa rafiki yangu uwezekano kuwa aliambukizwa (kama hakuwahi kuambukizwa before) ni asilimia 99 nakadiria. Kama alivyodhamiria jamaa alimwingilia yule binti kav kav round 2. Aliniambia alipotaka kwenda ya 3 bint ulevi ulishamuisha, na alipogundua jamaa anafanya hivyo alipinga vikali. Jamaa alishangaa na bado anashangaa kuwa bint kugundua aliingiliwa kav alilia sana usiku wote, asubuhi alirudi chuoni mapema na toka hiyo jana asubuhi hadi leo hajataka kupokea simu. Nimemsikitikia sana rafiki yangu, hata hivyo nimedhamiria kutomwambia chochote.
 
dah singoneki tena ..... Huyo jamaa yupo mtaani now anaendeleza sio ... Hii dunia hii ....
 
dah singoneki tena ..... Huyo jamaa yupo mtaani now anaendeleza sio ...

kwa nini usingonoke sasa smile? kwani kuna possibility ya kuingia kwenye anga za huyo jamaa?
 
It is too late to help your friend. Huna la kufanya kwa sasa zaidi ya kukaa kimya kama binti alivyokuomba.
 

Hauhisi guilt weweings ...maana you could have saved him toka mahusiano yanaanza. Kwa sasa bora uuchune lakini haikuwa busara kutokumwambia!
 

kweli kabisa option iliyo baki ni kuenda hosi apewe Post Exposure Prophxlaxis ni ARVs zinasaidia kabisa bora tu akubali kupimwa na awe ni mzima. but alivyo fanxa ni vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…