Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni true case. Binti ni shemeji yangu na mwanaume ni rafiki yangu. Binti aliambukizwa HIV kutoka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa, na aliniambia mwenyewe. Kupitia kwangu rafik yangu alimfaham huyu bint, na alipokuja niambia, alikuwa ameshamlala mara 2, mara zote akitumia condom kutokana shinikizo la bint.
Jamaa anataka apige kav kwa sababu anasema siku ya kwanza alimkuta bikra so anamwamini. Kanitumia msg muda si mrefu kuwa leo kafanikiwa kumlewesha binti Amarula (bint alikuwa hanywi kileo!)
Bint yupo hoi kwa ulevi na jamaa ameamua kutumia hiyo chance kumuingilia bila condom. Aliponitumia msg nilikuwa tait sana sikuweza kuisoma, nilipokuja kuisoma nimempigia nakuta keshazima simu.
Roho inaniuma sana kwa nini sikumwambia jamaa before, ingawa siku bint alivyonihadithia kuwa ni muathirika aliniomba sana nisimwambie mtu. nifanyeje?
Hadithi za Alinacha, kwani huyo binti ana miaka 3? Usitake kutuletea habaria ya binti mwenye umri wa miaka 25 afu eti alizaliwa na UKIMWI.
Waambie hao hao....
Umemuua rafiki yako,ungemwambia kabla!MPUUZI MKUBWA WEWE!