My friend anakanyaga waya usiku wa leo. Nimsaidieje?

Hauhisi guilt weweings ...maana you could have saved him toka mahusiano yanaanza. Kwa sasa bora uuchune lakini haikuwa busara kutokumwambia!

Nafeel too guilt. najilaum ningejua ningemwambia soon aliponiambia wao ni wapenz
 
umemuua rafiki yako tuko.....:crying:

Noo V... Ingawa kuna kitu ambacho ningeweza kufanya kuzuia, but still I believe sistahili lawama asilimia 100. By the way inawezekana hakumabukizwa :rolleyez:
 
daah!
ingekua ni mim nadhan ningekua najifungia chumban nalia kila akinambia anaumwa homa anahisi anamalaria maana mm ningejua tayar mambo yamenza.hope alisalimika.
 

Huyu jamaa ni mbakaji na anastahili kupata matokeo ya kitendo chake cha kumlevya huyo binti na kumuingilia kinyume na matakwa yake.
 
Hadithi za Alinacha, kwani huyo binti ana miaka 3? Usitake kutuletea habaria ya binti mwenye umri wa miaka 25 afu eti alizaliwa na UKIMWI.

Waambie hao hao....

Stori za hivyo huwa zinanikera sana, yaani wazazi wanasingiziwa sana siku hizi, kisa walifariki na ukimwi basi watoto wanatake advantage hapo hapo...
 

Binti ana miaka mingapi? Maana navyojua mimi mtoto akizaliwa na ngoma hawezi zidi miaka 15 kuishi na hata akiishi miaka hyo 14 atakua nyonde nyonde sana! Kwahyo story yako ni full shigongo!
 
Ebwanee rudi utuambie story inaendeleaje? Je jamaa ameanza kula mashudu nae?
 

hujatwambia kama jamaa ashakufa, maana zishapita siku ngapi sasa tangia aharibu na kuambukizwa.
kama hajafa sasa wapata taabu ya nini kufikiria habari zake na kujifeel guilty. acha hizo jamaa anadunda mitaani bila noma yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…