My future husband

My future husband

Wanawake bana
HuwA wanakuwa na ndoto za kuolewa na wanaume kama wa kwenye movies au fashion show toka hata hawajaanza shule

Lakini wanaume wanaokuja kuwaoa sasa.utashangaA
Usikute huyu kàolewa nà shikaji fulani lina kitambi na kitovu kikubwa kama tablet
Hiyo tunasema 'mipango si matumizi' hata wanaume hawaoi wanawake wa ndoto zao[emoji23]
Umenikumbusha enzi nikiwa shuleni waziri wa elimu wa kipindi hicho alitusimulia walivyokuwa wanawachora wanawake watakaowaoa wenye umbo namba 6 na 8
 
Sisi mara nyingi tunaoa wanawake wa ndoto zetu hasa ukiwa na pesaaa

Huyo waziri alibahatika kupata hilo umbo namba 6 na 8 ?
 
Back
Top Bottom