Confirmed. Uko ndotoni
Wewe jichukulie hapa, acha waendelee kuota kama wazee siye wenye maona tunapeta no time to waste..!Hayaa
Wacha uongo basi kwenye movie gani umemuona?Hapana. Hiyo picha ni ya kwenye movie. Nimeiona. Labda kama unaota usingizini kuwa na huyo mmiliki w picha. Kila LA heri!
unaonekana uko na wivu sanaConfirmed. Uko ndotoni
Hata sina wivu mamy, tayari nina Hb wangu hapa. Siwezi kumtamani huyo wako, wa ndotoni. Ila nakutakia heri. Siku 1 ndoto yaweza timiaunaonekana uko na wivu sana
Nimesahau jina mpenzi. Movie yenyewe nilikuwa naicheck ndotoni[emoji126] [emoji126] [emoji126]Wacha uongo basi kwenye movie gani umemuona?
HahaaaNimesahau jina mpenzi. Movie yenyewe nilikuwa naicheck ndotoni[emoji126] [emoji126] [emoji126]
ati nina hb wangu 😂😂 hb umpatie wapi wewe 😁Hata sina wivu mamy, tayari nina Hb wangu hapa. Siwezi kumtamani huyo wako, wa ndotoni. Ila nakutakia heri. Siku 1 ndoto yaweza timia
Wewe huyo hata ndotoni huwezi kumwona utamuona hapa tu picha nilizowekaNimesahau jina mpenzi. Movie yenyewe nilikuwa naicheck ndotoni[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Huku mashambani. Nikimpangusa tope LA shamba tu mvuto anaokuwa nao sio wa nchi hiiati nina hb wangu [emoji23][emoji23] hb umpatie wapi wewe [emoji16]
eeeh jipe moyo 🤓Huku mashambani. Nikimpangusa tope LA shamba tu mvuto anaokuwa nao sio wa nchi hii
Wa wap mkuu,tushirikishaneNa mimi nimeamua kumuweka future husband wangu nisije nikaibiwa bure. Mkae mjuwe huyu ndio future husband wangu. Nampenda kuliko navopenda uhai wangu [emoji177][emoji177]
View attachment 906010
Hiyo tunasema 'mipango si matumizi' hata wanaume hawaoi wanawake wa ndoto zao[emoji23]Wanawake bana
HuwA wanakuwa na ndoto za kuolewa na wanaume kama wa kwenye movies au fashion show toka hata hawajaanza shule
Lakini wanaume wanaokuja kuwaoa sasa.utashangaA
Usikute huyu kàolewa nà shikaji fulani lina kitambi na kitovu kikubwa kama tablet
Sisi mara nyingi tunaoa wanawake wa ndoto zetu hasa ukiwa na pesaaaHiyo tunasema 'mipango si matumizi' hata wanaume hawaoi wanawake wa ndoto zao[emoji23]
Umenikumbusha enzi nikiwa shuleni waziri wa elimu wa kipindi hicho alitusimulia walivyokuwa wanawachora wanawake watakaowaoa wenye umbo namba 6 na 8
Thubutu alipate wapi, aliishia kuambulia mwenye sura nzuriSisi mara nyingi tunaoa wanawake wa ndoto zetu hasa ukiwa na pesaaa
Huyo waziri alibahatika kupata hilo umbo namba 6 na 8 ?
Lazimaananyetoka tu
Mmh,nina wasiwasi hapa itakuwa ni mimi tuuNa mimi nimeamua kumuweka future husband wangu nisije nikaibiwa bure. Mkae mjuwe huyu ndio future husband wangu. Nampenda kuliko navopenda uhai wangu [emoji177][emoji177]
View attachment 906010
[emoji23]bora kapata wa sura nzuri angekosa kabisa ingekua tabuThubutu alipate wapi, aliishia kuambulia mwenye sura nzuri
Wewe na huyu wapi na wapi wewe uko shamba huko unalima pili pili 😂😂Mmh,nina wasiwasi hapa itakuwa ni mimi tuu