My girlfriend has a girlfriend

My girlfriend has a girlfriend

ankal hili dunia sasa hivi ukitaka kujifanya unalichukulia serious unaweza ukaota mvi za kwapa. yaani Afrika bado ni peponi at least kuna ka aibu flani lakini kizazi cha hitler sasa hivi kila kitu ni wazi bin kweupe, unakuta limume linatangazia kabisa kwenye gazeti kwamba linatafuta njemba ikamkunute yeye na waifu wake halaf limume hilo hilo likigombea ubunge linapewa. gademu!

twende tukaish uko bwana ....we waonaje?
 
Wakuu napenda
Kutanguliza samahani kama hii
topic itawakwaza wengine..

Nina rafiki yangu wa kike kaolewa
na ana mtoto wa miaka mitano ..
Yeye na mume wake pamoja na mtoto
wanaishi maisha ya amani tu..

Nway jana hiyo tukawa tunapiga story tu
akasema kuna kitu anataka kuniambiaili nimsaidie
akasema yeye si mwaminifu kwenye ndoa yake kwani
ame fanya tendo la ndoa na mwanamke mwingine..
na kweli amefurahia na anaburudika zaidi..
Amejaribu kumwambia mumewe kwa njia ya utani
Mume akabadilika kuwa Mbogo ndo akamwambia ni utani tu..

Sasa wanajamvi afanyaje sukari imemkolea kwa mwanamke
Mwenzake,halafu ye mtoto wa Mchungaji na huku ana
ndoa na familia..
Mawazo yenu yanakaribishwa.

ahh i kaz jaman.
nw days ukienda club kutongozwa na demu mwenzako ni kitu cha kawaida tu
na kwawale waliosoma weluwelu,ashira,shule gan ile ya ,masista pale kat...na ile karibu na tarakea yan dah KUNA MAASKOFU KABSA NDOA/UHALALISHO UNATOLEWA like JOYCE na SALOME ni couple....

inasikitsha sana lakin ili wimbi la siku izi la unasimamishwa na demu mwenzako unaimbishwa dahh inakera...
 
hajamaliza, kasema itaendelea post ijayo. anaongezea hela ya cafe atarudi

ehh unamaanisha hana modem?
yupo cafe?
kwan ulaya cafe zao aghali enhh?
ehh angekuwa uku ningempa modem moja.....

ennhh amesemaje tena?
yan wewe jaman unanitafsiria vzur dah ....pls ukiona chngereza tu uwe unanitafsiria bana ..ujue tu anna ataitajika...
 
ahh i kaz jaman.
nw days ukienda club kutongozwa na demu mwenzako ni kitu cha kawaida tu
na kwawale waliosoma weluwelu,ashira,shule gan ile ya ,masista pale kat...na ile karibu na tarakea yan dah KUNA MAASKOFU KABSA NDOA/UHALALISHO UNATOLEWA like JOYCE na SALOME ni couple....

inasikitsha sana lakin ili wimbi la siku izi la unasimamishwa na demu mwenzako unaimbishwa dahh inakera...
Habari yake banaa aisee masaa sita mengi sana nimejaribu sana nimeweza kufikisha matano
 
Habari yake banaa aisee masaa sita mengi sana nimejaribu sana nimeweza kufikisha matano

hahaah hahah acha bang wewe!
umenchekesha...aya bwana
mwambie dull kuna masaa 6 uku aje achek...
wewe ntakuzamisha masaa matatu tu kwan yatakushnda?
 
ankal hili dunia sasa hivi ukitaka kujifanya unalichukulia serious unaweza ukaota mvi za kwapa. yaani Afrika bado ni peponi at least kuna ka aibu flani lakini kizazi cha hitler sasa hivi kila kitu ni wazi bin kweupe, unakuta limume linatangazia kabisa kwenye gazeti kwamba linatafuta njemba ikamkunute yeye na waifu wake halaf limume hilo hilo likigombea ubunge linapewa. gademu!
Shabashhhhhh!!!!! Balaa bin balaaa
 
ehh unamaanisha hana modem?
yupo cafe?
kwan ulaya cafe zao aghali enhh?
ehh angekuwa uku ningempa modem moja.....

ennhh amesemaje tena?
yan wewe jaman unanitafsiria vzur dah ....pls ukiona chngereza tu uwe unanitafsiria bana ..ujue tu anna ataitajika...
usijali, hapa kijijini wananiita koffi anan kwa kiingreza. wewe wakikuPM kwa kimombo zifoward kwangu halaf natafsiri unapiga kibuti kwa foreign lenguej.
 
hahaah hahah acha bang wewe!
umenchekesha...aya bwana
mwambie dull kuna masaa 6 uku aje achek...
wewe ntakuzamisha masaa matatu tu kwan yatakushnda?
Kweli tena hayo masaa matano yenyewe watu wametoka nduki, dull hauoni alivyokuwa analalamika anasema labda kama mtu unatafuna Big G sawa.
 
AD..
Mimi naomba tu kuuliza, hivi haya yametokea hapa kwetu Tanganyika au huko kwa wenzetu walioendelea? Mhh...mi nakuwa kama Thomaso..mhh!
 
kweli awatoi vza?
twende bas ata apo kwa ocampo bwana ....ili tukikorofshana mahakama iwe karibu....:love:
nikiendelea kuchakachua hii sredi. AD atagoma kujibu PM zangu bana, acha niishie hapa.
 
My dear
thank you so much for this
beautiful artical..
but the thing is she doesn't want her hubby
any more.. she just want her son and family members
Except her husband..
she is looking for the way to break this news without
creating a big drummer..
she is ready to move on..

mapepo.
mapepo ya kuvuruga family
shetan anamlaghai aone uyo jikedume anampenda na kumfanya ajisikie raha zaid ya mumewe ...ili mwsho wa siku amcheke fresh

UYO GALFREND WAKE AMEOLEWA NAYE?ANA MCHUMBA?ANA MTOTO?
Wameish sana majuu?
wamesoma wap?
waltongozeana wap?
wanafanya kaz pamoja?
 
AD..
Mimi naomba tu kuuliza, hivi haya yametokea hapa kwetu Tanganyika au huko kwa wenzetu walioendelea? Mhh...mi nakuwa kama Thomaso..mhh!
inawezekana huyu mdada ni jirani yako. tahazari Heren Kappuch wangu.
 
AD..
Mimi naomba tu kuuliza, hivi haya yametokea hapa kwetu Tanganyika au huko kwa wenzetu walioendelea? Mhh...mi nakuwa kama Thomaso..mhh!

Pole sana Keren mie nilikuwa Thomaso kama wewe lakini sasa nashuhudia hapa Job kwangu kuna Couples za Kike ,
Jamani kweli wazazi tunajipatia watoto
 
Back
Top Bottom