My girlfriend has a girlfriend


Fanya kama koni...unakula shikirimu(ice cream) na kikombe chake...ukiacha kikombe watu watakila
 

walau mimi ni miongoni mwa wachache ambao topic yako AD imetukwaza, well kwa upande wangu nimepokea ombi lako la msamaha, you're forgiven! Keep posting for social justice, some learn, some enjoy, and some get mad, that's all about JF!
 
You got that right! Finally, NN is back in his house.

Haterz better beware.

mhh mbona izi swaga za kitandale jaman we NN WAKAT UNAONEKANA WE MZUNGU MZUNGU?...mipasho sio ehh ehh wapashe babuuuuuuuuuuuu wapashe wapashike km kiporo cha makande...
aya bwana wamekupata ....
 

Mkataze asije akachonga mzinga kabisa.
Maana wanasema chovya chovya humaliza buyu la asali.
 
The kid? They should just put him/ her to bed before they get their freak on. Simple as that.

And what is a super christian? Afterall, who said christians, whether super or not, don't get freaky?


Duh! Hatimaye! Karibu sana Mkuu tulikumiss sana na pia tulimiss michango yako motomoto...5 months missing in action Duh! Karibu sana jamvini.
 
the impact of modernization in our society copy and past everything in western madhara yake ndo haya .kwa kuwa ni mwanzo ajivue gamba mapema maana waswahili wanasema mlamba asali uchonga mzinga
 
Eti kuna msichana yoyote anayeweza kuniambia mnachodiskasheni hapa?:help::help::help:
 

Nashkuru umeitaja Mawenzi, ni shule yangu. Kuna wadada wawili tena mmoja alikuja kusoma udsm sheria sitataja mwaka gani. yani walikuwa wanalala pamoja na wana do live bila chenga. kitanda chao wamekizungushia uzio, yani ni mke na mme. Mmoja akimuona mwenzake na mdada mwingine ni ugomvi wa kufa mtu kama ule wa boy/girl friend.......so yapo live hayo
 
mhh mbona izi swaga za kitandale jaman we NN WAKAT UNAONEKANA WE MZUNGU MZUNGU?...mipasho sio ehh ehh wapashe babuuuuuuuuuuuu wapashe wapashike km kiporo cha makande...
aya bwana wamekupata ....

Mipasho ndo yenyewe haswa! Kwanza nani kakwambia wazungu wazungu hawana mipasho? Hiyo dhana potofu umeitoa wapi? Ndo mnavyodanganya hivyo huko kwenu Uswazi? Ipotezee hiyo manake ni urongo mtupu. Mtu akijilengesha mpashe kaa chai ya rangi kwenye jiko la tambi. Mwambie wewe ndo wewe kamba isokatika ajichunge na kujichunga asije kujinyonga nayo.
 
Duh! Hatimaye! Karibu sana Mkuu tulikumiss sana na pia tulimiss michango yako motomoto...5 months missing in action Duh! Karibu sana jamvini.

Brother man from the motherland. What's good ma dude? You good?

Yeah man! Five long months on hiatus ain't no joke. But things done changed man. JF ain't what it used to be in the good old days. Zamani zile za kale heshima iliwekwa mbele na ishuz zilikatwa kwa kumkoma nyani giladi.

Lakini siku hizi hapa pamegeuka kuwa nyumba ya sanaa iliyojaa wasanii.

Other than that, I'm good man.
 
Reactions: Mbu
Ahaaa ahaaa ahaaaa NN what a COMEBACK.
 
Ahaaa ahaaa ahaaaa NN what a COMEBACK.

You already know playa! I'm built for that sh*t.

Unajua kuna kitu nime observe. Baadhi ya watu hupenda kuiongelea mbovu "mipasho" hususan ile ya kwenye Taarab (in the interest of full disclosure, I am a huge, unabashed fan of Taarab). Lakini unakuta watu hao hao wako wanapenda sana "freestyle battles" za hip hop kama zile za 106&Park.

Sasa freestyle battles na mipasho ya Taarab substantively tofauti yake nini? Lakini unakuta mtu anaona fahari kuwasikiliza wanugu wakipashana lakini anaua ikija kwa sisi wamatumbi. I guess labda kwa vile wanugu wanatumia Kiingereza ndo maana baadhi ya watu wanashoboka na kusahau kuwa hiyo nayo ni mipasho.

Unakuta wenyewe wanafuatilia Jigga kasema nini kuhusu Baby wa Cash Money au Niki Minaj kamchanaje Lil Kim.....ahahahaaaa watu bana.
 
Kwenye hayo NN watu wako-updated ile mbaya unaweza hadi shangaa huku kwingine wanakwambia WTF!!
 
Ningekuwa huyo mwanaume ningemwambia aje na huyo girrlfriend wake, then wote watatu tutajoin pamoja.... maana bora hiyo kuliko angeenda kwa mwanaume mwenzangu.....
 
oh mmefika huku?

hivi mie bado ninashangaa......kusema ukweli ningejaribu kuelewa iwapo huyo rafikiyo angekuwa hajaolewa na hana boyfriend........ sas ahuyu aliyeolewa nashindwa kuelewa anatofautishaje kuwa kwa mumewe hafaidi kama huku kwa bi dada?? hivi tunapofikia kujudge kuwa the sex was good huwa tunaangalia nini?? romance? foreplay, the deed it self au ni nini? kwa sababu mie mawazo yangu ya kipotofu nawaza kama anachofurahia ni romance, foreplay, handling si amwambie mumewe afanye kama hayo anayofanyiwa?? Au ni huko kusifiwa kuwa ni mzuri, anapendeza, anapendwa si navyo mume anawezafanya?? Unless mnambie huyo mumewe naye ndo wale mabaunsa hata vyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…