Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Inawezekana kweli mkuu, kuwa hawa jamaa bado ni manjuka kwenye game, sasa hiyo ni hatari zaidi. Maana hata yule wa pili kumega huwa anajidhania ni wa kwanza, alimradi tu hamjui huyo aliyeanza.
Au unaogopa Mimba kuliko HIV,kazi ipo!
Tanzania bila UKIMWI................................