Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Inawezekana kweli mkuu, kuwa hawa jamaa bado ni manjuka kwenye game, sasa hiyo ni hatari zaidi. Maana hata yule wa pili kumega huwa anajidhania ni wa kwanza, alimradi tu hamjui huyo aliyeanza.
:becky::becky::becky: umenirudisha mbali Mtu B; dah! kuna jamaa yetu enzi hizo alipewa mzigo na dem aliypigwa mdondo lakini cha ajabu jamaa alikuja kutuapia kuwa yeye ndo amefungua njia! Hii dunia hii..... we acha tu