My God!!

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,230
Hili timbwili la leo la kufa mtu. Kuna jamaa kafumaniwa na Mke wake anabanjuka na mwanawe wa kumzaa kabisa. Hivi huwa kinatokea nini kwa jamaa kama huyu kutembea na mwanawe wa kumzaa. Kwa nini kwa wanawake haiwi kawaida kusikia upuuzi kama huu. Haya mambo ya Tabata Mawenzi yamenichanganya kabisa!!
 
Jamaa anakula mtaji siyo! Anatokea ukanda gani jama!
 
Duh kweli hiyo ni balaa tupu!mtoto ana miaka mingapi?
 
Sijui ni kwa nini haya mambo hayaishi, kila kukicha ni mambo haya haya! Kwa kiasi kikubwa source ya matatizo ni kwetu, midume. Siamini na nasema siamini kama inawezekana binti akawaza kumtega baba yake mzazi. Nashawishika kuamini kuwa ktk kesi hizi, mkorofi ni huyo baba kufikia hatua ya kumtokea na kutembea na mwanawe wa kuzaa.

Leo sina nguvu ya kusema mengi, ila natoa ushauri tu kwa akina baba wenzangu, tujiheshimu na kuacha tamaa. Huko mitaani kwenu kuna mabinti wangapi? Kwa nn msiwafuate hao? On the other hand na nyie vibinti hebu kuweni na aibu na adabu pia,baba akijaribu kidogo tu mnakubali, Kwanini mnamkubalia baba? Hebu muache huo uchafu mnaoufanya. Sipendi!
 
hii dunia ina kila kitu siku hizi hata haishangazi tena bali masikitiko na kukatisha tamaa
Yaani wakati mwingine hata watoto wadogo wa kike wakibaki na kaka yao mtu huna imani naye. Sijui huko tuendako hali itakuwaje!!
 
Hii ni balaa kwa kweli. Hapo mwenye kosa ni baba, binti labda atakuwa alitishwa na baba yake.
Kwa kweli tunakoelekea.......
 
kuna mtu wangu wa karibu kabisaa aliwahi kufanya upuuzi huu..wanaume ndo zao tena weng wana wataman ndugu zao ila wanaona haya,anayefanikiwa kujitoa muhanga kutongoza ndiye anayeumbuka.uchawi sio tawire na matunguri tu!
 
msiwaze saaana!! anamfundisha mwanae mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…