msiwaze saaana!! anamfundisha mwanae mapenzi.
lol..hii kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msiwaze saaana!! anamfundisha mwanae mapenzi.
Ana miaka 22!!
msiwaze saaana!! anamfundisha mwanae mapenzi.
tatzo mavaz mnayovaa maduu, miaka 22 huyo hakuna ubakaj n makubaliano yalfanyka ila ndo za mwz, 2some nyakat.
lol..hii kali
Hili timbwili la leo la kufa mtu. Kuna jamaa kafumaniwa na Mke wake anabanjuka na mwanawe wa kumzaa kabisa. Hivi huwa kinatokea nini kwa jamaa kama huyu kutembea na mwanawe wa kumzaa. Kwa nini kwa wanawake haiwi kawaida kusikia upuuzi kama huu. Haya mambo ya Tabata Mawenzi yamenichanganya kabisa!!
Hii ni balaa kwa kweli. Hapo mwenye kosa ni baba, binti labda atakuwa alitishwa na baba yake.
Kwa kweli tunakoelekea.......