My Goodness!! Mhubiri ahubiri chuchu nje

The so called liberal and Pregressive Pastors/Christian......Pathetic fool...Hata hapa Tz wapo wamjua nabii Flora wa Mbezi Beach ni hao hao hamna tofauti..
 
tedo hebu muweke huyo nabii flora hapa namsikiaga tu
 
Last edited by a moderator:
Mnashangaza sana Wanawake wakivaa kistaarabu (Kiislam) Hamtaki Wakivaa kwa Mujibu wa Dini zenu Mnalalamika
Mna nini nyiee!!!!!!!!!!????????,,,,,'mmmmh
 
[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Mathayo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]7[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]15[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Huyu amezidi. Hata wale wa mitaani hawaonyeshi 'nido' zao kiasi hicho.
Anajionyeshaaaa !!!, mpaka 'nipple' karibu zionekane hadharani !!!
 
The so called liberal and Pregressive Pastors/Christian......Pathetic fool...Hata hapa Tz wapo wamjua nabii Flora wa Mbezi Beach ni hao hao hamna tofauti..

niliwai ona picha ya nabii Flora... acha anajipodoa....
 

Kwa kuongezea hapo....

01 Timotheo 02:09-10 inasema...

9 Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani;
10 bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.
 
Mnashangaza sana Wanawake wakivaa kistaarabu (Kiislam) Hamtaki Wakivaa kwa Mujibu wa Dini zenu Mnalalamika
Mna nini nyiee!!!!!!!!!!????????,,,,,'mmmmh

Hatutak coz wengi huwa wanapenda sana kutoa 0713. ukiwa znz ambako ndio wanavaa kistaarabu voda wala zantel netwek inasumbua sana kwao kwaiyo inakulazimu tu nawe utumie mtandao wa wajanja (0713).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…