dist111 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 3,971 Reaction score 3,589 Mar 8, 2013 #21 mtugani wa wapi huyo said: Mnashangaza sana Wanawake wakivaa kistaarabu (Kiislam) Hamtaki Wakivaa kwa Mujibu wa Dini zenu Mnalalamika Mna nini nyiee!!!!!!!!!!????????,,,,,'mmmmh Click to expand... Kwani kuna dini inaruhusu mipasuo, vimini? Masista kwani wanavaa vimini? Ni kupotoka kwa watu tu basi Tatizo sio dini, tatizo ni wafuasi wa dini zote! hawataki kufuata dini badala yake wanakimbilia dini yanapowasibu! Tubadilike wajaameni ohooo
mtugani wa wapi huyo said: Mnashangaza sana Wanawake wakivaa kistaarabu (Kiislam) Hamtaki Wakivaa kwa Mujibu wa Dini zenu Mnalalamika Mna nini nyiee!!!!!!!!!!????????,,,,,'mmmmh Click to expand... Kwani kuna dini inaruhusu mipasuo, vimini? Masista kwani wanavaa vimini? Ni kupotoka kwa watu tu basi Tatizo sio dini, tatizo ni wafuasi wa dini zote! hawataki kufuata dini badala yake wanakimbilia dini yanapowasibu! Tubadilike wajaameni ohooo
AlP0L0 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 7,069 Reaction score 5,899 Mar 8, 2013 #22 Mamndenyi said: Naona unataka kuvuka. Click to expand... Huo ndio ukweli Sent from my GT-S6802 using Tapatalk 2
Mamndenyi said: Naona unataka kuvuka. Click to expand... Huo ndio ukweli Sent from my GT-S6802 using Tapatalk 2