My heart bleed and broken and cry for Lulu Michael

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Personal simfahamu lulu Jana nilisoma habari kafungwa miaka 2 .Today nikasema ngoja niangalie video kwa kweli Ili iliniumiza mno. the abuse of a human right was beyond my imagination .Walivyokuwa wanamsukuma aisee hata North Korea sio Hivi . WHAT CAN WE DO TO MAKE SURE SHE IS SAFE .Ata Enzi za Nyerere wakina Ngaiza haikuwa Hivi. Hii ndio serikali ya magufuli. Very traumatic
 
Acha ushamba, usilie sababu ya yule aliyemuua eti unalilia ile ghasia..!
 
Personal sidhani Kama Ameua.Kanumba atakuwa Alikuwa mgonjwa wa Moyo au blood pressure.Autopsy yake inasema nini hujawahi ona mtu anaanguka na kufa. Angepewa probation au kifungo cha ndani
 
Dhambi hukua na kuzaa mauti....! Uzinzi kaliojifunza in too early years of her age ndiyo malipo. Alidhaminiwa na Mengi asome shule akagoma mshenzi sana huyu dogo, two years siyo nyingi ngoja akafunzwe na ulimwengu, alimshinda mama yake..!
 
Kwenye hiki kipindi tutaona na kusikia mengi, hivi ata yy si binadamu wa kawaida? Kuna watu jamaa zao wanafia jela ila hawajawahi kwenda ata na mfuko wa pipi wala hawajui ni jela gani alipo, ila hii ya Lulu dah utadhani ni yai litapasuka. Acheni sheria ichukue nafasi yake miaka miwili sio mingi atatoka
 
Personal simfahamu lulu Jana nilisoma habari kafungwa miaka 2 .Today nikasema ngoja niangalie video kwa kweli Ili iliniumiza mno. the abuse of a human right was beyond my imagination .Walivyokuwa wanamsukuma aisee hata North Korea sio Hivi . WHAT CAN WE DO TO MAKE SURE SHE IS SAFE .Ata Enzi za Nyerere wakina Ngaiza haikuwa Hivi. Hii ndio serikali ya magufuli. Very traumatic
Usichojuwa tu ni kwamba " Daddy is coming soon"
 
Inshallah mola amfanyie wepes katika hili jambo analopitia
Tutamiss mbwembwe zake
 
Personal simfahamu lulu Jana nilisoma habari kafungwa miaka 2 .Today nikasema ngoja niangalie video kwa kweli Ili iliniumiza mno. the abuse of a human right was beyond my imagination .Walivyokuwa wanamsukuma aisee hata North Korea sio Hivi . WHAT CAN WE DO TO MAKE SURE SHE IS SAFE .Ata Enzi za Nyerere wakina Ngaiza haikuwa Hivi. Hii ndio serikali ya magufuli. Very traumatic
Vipi huko north korea wafungwa hua wanawekewa red carpet na kubebwa au..??
 
Personal sidhani Kama Ameua.Kanumba atakuwa Alikuwa mgonjwa wa Moyo au blood pressure.Autopsy yake inasema nini hujawahi ona mtu anaanguka na kufa. Angepewa probation au kifungo cha ndani
Kifungo cha ndani ili tuwe tunaenda kumega si ndio?
 
Khaaaa! Ungekuwa na huruma hiyo kwa watoto yatima na wajane! Hakika ungekuwa umechagua Dini bora sana!!
 
Back
Top Bottom