Personal sidhani Kama Ameua.Kanumba atakuwa Alikuwa mgonjwa wa Moyo au blood pressure.Autopsy yake inasema nini hujawahi ona mtu anaanguka na kufa. Angepewa probation au kifungo cha ndaniAcha ushamba, usilie sababu ya yule aliyemuua eti unalilia ile ghasia..!
Dhambi hukua na kuzaa mauti....! Uzinzi kaliojifunza in too early years of her age ndiyo malipo. Alidhaminiwa na Mengi asome shule akagoma mshenzi sana huyu dogo, two years siyo nyingi ngoja akafunzwe na ulimwengu, alimshinda mama yake..!Personal sidhani Kama Ameua.Kanumba atakuwa Alikuwa mgonjwa wa Moyo au blood pressure.Autopsy yake inasema nini hujawahi ona mtu anaanguka na kufa. Angepewa probation au kifungo cha ndani
"Kula, uliwe"Huko jela anakula bata tu anachokosa uhuru
Usichojuwa tu ni kwamba " Daddy is coming soon"Personal simfahamu lulu Jana nilisoma habari kafungwa miaka 2 .Today nikasema ngoja niangalie video kwa kweli Ili iliniumiza mno. the abuse of a human right was beyond my imagination .Walivyokuwa wanamsukuma aisee hata North Korea sio Hivi . WHAT CAN WE DO TO MAKE SURE SHE IS SAFE .Ata Enzi za Nyerere wakina Ngaiza haikuwa Hivi. Hii ndio serikali ya magufuli. Very traumatic
Vipi huko north korea wafungwa hua wanawekewa red carpet na kubebwa au..??Personal simfahamu lulu Jana nilisoma habari kafungwa miaka 2 .Today nikasema ngoja niangalie video kwa kweli Ili iliniumiza mno. the abuse of a human right was beyond my imagination .Walivyokuwa wanamsukuma aisee hata North Korea sio Hivi . WHAT CAN WE DO TO MAKE SURE SHE IS SAFE .Ata Enzi za Nyerere wakina Ngaiza haikuwa Hivi. Hii ndio serikali ya magufuli. Very traumatic
Kifungo cha ndani ili tuwe tunaenda kumega si ndio?Personal sidhani Kama Ameua.Kanumba atakuwa Alikuwa mgonjwa wa Moyo au blood pressure.Autopsy yake inasema nini hujawahi ona mtu anaanguka na kufa. Angepewa probation au kifungo cha ndani