My Heart (Cassper & Diamond): The best cut-up in Coke Studio.

Mpaka sasa binafsi hamna kolabo ya coke studio ilonibamba kama hii.
Nakubaliana na mtoa mada
 
Aisee wali Rock hawa watu, casper alirap vizurii mpk nikisikilizaga nasisimkwaaaaaa
 
Angekuwa Kiba hapo angebeba jiti kama anataka kuua nyoka.
 
Mapenzi yangu kwa hii nyimbo ni makubwaaa sanaaaaa
 
Unaweza kusifia lakini sio kukuza mambo ina maana My heart imeizidi collabo ya trey songz na V money-body to body??? Hiyo my heart kawaida sana sema tu una mahaba kwa huyo mondi

Anyway cassper nyovest yuko vzuri sana album yake ya Thuto ni level nyingine kabisa sio ya ulimwengu huu kwa rap fans mtanielewa
 
Body to body kawaida saana may be itaingia kwenye top 5 ya cutups za Coke ila sio kuipiku My heart.

Umenitafsiri vibaya Mond mimi sio hata shabiki wake ila baadhi ya kazi zake ikiwemo hii.

Tusifie vizuri bila kujali aliyekifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…