Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona cjachek Dabbyunacheka nini sasa?
Mhhh naepuka vishawishi😀Kuja nikuimbie usisimkweeee
Hivyo vya kuimbiwa na nshakwambia nasisimkwaVipi hivyo?
Ntakuja tujaribuTunaonja tu msisimiko ukianza kusisimkwa na stop.
kwangu hii ni the best cut-up za cut-ups zote za Coke studio. Cassper sio wa mchezo ukisikiliza kazi zake za nyuma kwenye Album ya Tsholofelo utasema ni rapper ambaye kakosa stylistics na delivery.
kitu ambacho waliokuwa wanasema ni zaidi ya AKA na KO nilikuwa napingana nao. [Btw mimi ni shabiki wa AKA]. Cassper na Diamond kwa hii track wanahitaji credits kubwa.
Najua Africa kuna rappers wanafanya vizuri kama M.I, stanley eno, L.Tido, Ice prince and sark, ila jamaa anaupekee wake na bila kumsahau sarkodie.
Bongo kwa rap bado, labda wajichanganye kama diamond waambukizwe swaggas...
NB: Mziki ni ushabiki na kufurahishwa nafsi.
moyo wangu unaenda .....
She gives me joy, make my heart go....
Body to body kawaida saana may be itaingia kwenye top 5 ya cutups za Coke ila sio kuipiku My heart.Unaweza kusifia lakini sio kukuza mambo ina maana My heart imeizidi collabo ya trey songz na V money-body to body??? Hiyo my heart kawaida sana sema tu una mahaba kwa huyo mondi
Anyway cassper nyovest yuko vzuri sana album yake ya Thuto ni level nyingine kabisa sio ya ulimwengu huu kwa rap fans mtanielewa