My Heart (Cassper & Diamond): The best cut-up in Coke Studio.

Body to body kawaida saana may be itaingia kwenye top 5 ya cutups za Coke ila sio kuipiku My heart.

Umenitafsiri vibaya Mond mimi sio hata shabiki wake ila baadhi ya kazi zake ikiwemo hii.

Tusifie vizuri bila kujali aliyekifanya.
Hahahaa nakuelewa mkuu ila umetumia vigezo gani kusema my heart ni bora kuliko body 2 body??? ..... Kiukweli kabisa cassper hakuwa at his best kwenye verse yake tofauti kabisa na tulivyomzoea ila diamond alijitahidi sana kwa level zake
 
Chemistry ya Cassper na mond kwenye track, ukiwa unausikiliza au kuangalia You'll notice this.

Simple and catchy tune,

Indeed song stuck in my heart so long. [Remind me one of my love story].
 
Hii ni the best kwa diamond so far ila kwa coke studios sijui ..

Kwangu mr flavour & Juliana kanyomozi -ololufe is still the best ..

Kwa wanaouelewa muziki vizuri maana hii combination hataree kuanzia uwezo binafsi wa waimbaji hadi peformance yenyewe ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…