zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hahahaa nakuelewa mkuu ila umetumia vigezo gani kusema my heart ni bora kuliko body 2 body??? ..... Kiukweli kabisa cassper hakuwa at his best kwenye verse yake tofauti kabisa na tulivyomzoea ila diamond alijitahidi sana kwa level zakeBody to body kawaida saana may be itaingia kwenye top 5 ya cutups za Coke ila sio kuipiku My heart.
Umenitafsiri vibaya Mond mimi sio hata shabiki wake ila baadhi ya kazi zake ikiwemo hii.
Tusifie vizuri bila kujali aliyekifanya.