My HIV status

My HIV status

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Greatings JF,
Hakika leo nina furaha ya kutisha! Namshukuru Mungu kwa hii siku ya leo[emoji120] [emoji120] .
IMG_20180417_165729.jpg
 
Pima tena baada ya siku 90 kisha ulete mrejesho hapa
 
Kawaida sana
Inaonesha nyie ndo ambao bado mna nyanyapaa waathirika. Mbona haujawahi kuleta kipimo cha malaria au typhoid hapa
Mkuu HIV is a mulnutrition desease - Mbeki ndo alisema lakini miye nimenukuu tu
People die like flies kwa ajali na magonjwa mengine siyo HIV tu
 
Naona kulikua na vipimo viwili hapo embu tuone na chahuyo mwenzako ili tuwapongeze wote
 
Kawaida sana
Inaonesha nyie ndo ambao bado mna nyanyapaa waathirika. Mbona haujawahi kuleta kipimo cha malaria au typhoid hapa
Mkuu HIV is a mulnutrition desease - Mbeki ndo alisema lakini miye nimenukuu tu
People die like flies kwa ajali na magonjwa mengine siyo HIV tu
Mkuu kama HIV ni malnutrition disease basi jaribu upate kwanza
 
Back
Top Bottom