Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Greatings JF,
Hakika leo nina furaha ya kutisha! Namshukuru Mungu kwa hii siku ya leo[emoji120] [emoji120] .View attachment 747713
Mkuu kama HIV ni malnutrition disease basi jaribu upate kwanzaKawaida sana
Inaonesha nyie ndo ambao bado mna nyanyapaa waathirika. Mbona haujawahi kuleta kipimo cha malaria au typhoid hapa
Mkuu HIV is a mulnutrition desease - Mbeki ndo alisema lakini miye nimenukuu tu
People die like flies kwa ajali na magonjwa mengine siyo HIV tu
HongereniNimeona niweke changu ila all is good!
Hahahahahah dah umemjibu vizuri aseee watu wanachukulia poa tuMkuu kama HIV ni malnutrition disease basi jaribu upate kwanza
Greatings JF,
Hakika leo nina furaha ya kutisha! Namshukuru Mungu kwa hii siku ya leo[emoji120] [emoji120] .View attachment 747713
Naona kulikua na vipimo viwili hapo embu tuone na chahuyo mwenzako ili tuwapongeze wote
Hahah ndio hivyo mkuu...Duu ila wew mdadisi
Greatings JF,
Hakika leo nina furaha ya kutisha! Namshukuru Mungu kwa hii siku ya leo[emoji120] [emoji120] .View attachment 747713