My last hope ( mwenza wa maisha)

My last hope ( mwenza wa maisha)

Bry N

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
716
Reaction score
818
Mimi ni mwanaume rijali kabisa natafuta mwenza wa maisha alie tayari kuishi maisha ya ndoa na familia natokea kusini mbeya, umri wangu 28 years elim degree, kazi biashara....

Akitokea kusini itapendeza zaidi umri usizidi miaka 27 dini awe mkristo karibu pm kwa maelezo zaidi... Maswali na kejeli sitajibu.
 
Watakuja tunao wengi tu hapa JF, ufanikiwe sawasawa na ombi lako.
 
Kama 10, alafu wote tabia moja hamna mwenye afadhali, afu wengi wao wanaigiza, wengi wao hawapo serious, wanachotanguliza mbele papuchii kama mlaku umekwenda
 
Kama 10, alafu wote tabia moja hamna mwenye afadhali, afu wengi wao wanaigiza, wengi wao hawapo serious, wanachotanguliza mbele papuchii kama mlaku umekwenda
Aiseeee hongera
 
Back
Top Bottom