My Life, My Purpose by Benjamin W. Mkapa

Mwenyewe Jana kasema moja ya malengo ya kutunga kitabu kile ni kuchochea mjadala wa kisiasa na kijamii kwa malengo chanya

Tanzania bado kuna watu wajinga wajinga kwenye tasnia ya Habari
Ntakupa mfano mmoja tu

Kwa vigezo gani vya ki rasilimali akili, taaluma au uzoefu hadi uchambuzi wa Habari za Magazetini kwa radio maarifa hapa nchini kuwapa watu kama Steve Nyerere na Zembwela?,

Uchambuzi wa habari unafanywa kuwa vichekesho na jokes

Kweli hawa ndio wafanye uchambuzi wa ki Habari?

Mkapa yupo sahihi kwa kauli yake ile kipindi hiki kuliko kipindi kile anasema
 
Mwenyewe Jana kasema moja ya malengo ya kutunga kitabu kile ni kuchochea mjadala wa kisiasa na kijamii kwa malengo chanya

Tanzania bado kuna watu wajinga wajinga kwenye tasnia ya Habari
Ntakupa mfano mmoja tu

Kwa vigezo gani vya ki rasilimali akili, taaluma au uzoefu hadi uchambuzi wa Habari za Magazetini kwa radio maarifa hapa nchini kuwapa wati kama Steve Nyerere na Zembwela?,

Kweli hawa ndio wafanye uchambuzi wa ki Habari?

Mkapa yupo sahihi kwa kauli yake ile kipindi hiki kuliko kipindi kile anasema
Unafikiri hao wakina Steve wapo hapo kwa bahati mbaya? Kwa sababu kuna kundi kubwa la Watu linawasikiliza.

Acha hao, angalia washauri na marafiki wa karibu wa baadhi ya viongozi wetu kwenye sosho netiweki!

Angalia michango ya Watu hapa Jf miaka ya 2006-2009 halafu linganisha na sasa!

Ni kama kuna platform ya kizazi flani imechukua nafasi ya kusikiliza sana upuzi na wengine wameamua kuwa popo
 
Pambafff kunakili bandiko la mtu bila kum acknowledge...Chapisho hili limeandikwa na James Gayo kupitia ukurasa wake wa FB saa mbili zilizopita ni vyema kuheshimu kazi za watu nanina!
Nilitaka kushangaa huyu jamaa, kaanza lini kuwa makini.
 
Unafikiri hao wakina Steve wapo hapo kwa bahati mbaya? Kwa sababu kuna kundi kubwa la Watu linawasikiliza.

Acha hao, angalia washauri na marafiki wa karibu wa baadhi ya viongozi wetu kwenye sosho netiweki!

Angalia michango ya Watu hapa Jf miaka ya 2006-2009 halafu linganisha na sasa!

Ni kama kuna platform ya kizazi flani imechukua nafasi ya kusikiliza sana upuzi na wengine wameamua kuwa popo
Sahihi
Ndio sababu nasema tusichukie kuitwa Wapumbavu na Malofa au Waandishi Uchwara

Mkapa alikuwa Rais Msema kweli kabisa

Ukiwa Bwege anakuita bwege, ukiwa fala anakuita fala sio Jk anajifanya kusifia sijui wa Tz wa leo wanajielewa wakati ndani ya nafsi yake anajua ‘wanatupiga ‘ huku tunawasifia
 
Nakubaliana nawewe mwamba,Unajua up to date U'primitive aliouzungumzia Mkapa kwa vyombo vyetu vya habari upo,Yaani ata uchukulie tu kwenye issue ya ku'balance stories bado ni kisanganga,alikua sahihi kusema ni Primitive.
 
Kitabu kimeandikwa kiingereza, na kiingereza chake sio kama kile cha mabara the farmer au hawa the bus drive..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... english tata humo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
English sio lugha yetu tutajifunza tu
 
Back
Top Bottom