My Life, My Purpose: Kumbukumbu za Rais Benjamin William Mkapa

My Life, My Purpose: Kumbukumbu za Rais Benjamin William Mkapa

MUHIMU ili kisomwe kwa wingi tuingizie hapa,kwa kidogo kidogo. Hata ikibidi kukuchangia
 
kitabu hiki huwezi kukiita historia bali ni story kutoka kwa maono ya mwandishi, naweza kusema ni kuelezea yale ambayo jamii haikuelewa kwanini aliyafanya ili atoe sababu.

Imenipa ukakasi kuamini validity yake pale aliposema Nyerere alikubali aliyoyatenda sababu hakumuuliza hence alikubali alichokinya, kweli mjaa alikubaliana na uuzwaji wa NBC et al? kwa hapa nadhani hakumtendea haki marehemu na hiyo inanifanya kuona kwamba maandishi haya ni riwaya.
 
Back
Top Bottom