Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Nakwambi utabadili kila jina cheo cha wafanyakazi na utarudi kuuona ukweli, faya risachi kabla hujafanya hiyo dokyumentari yako. Utazame hao unaowaita Wahindi na wasio Wahindi wanavyo treat wafanya kazi wao halafu ndio uifanye hiyo dokyumentari. Maana ukiifanya sasa inaonesha tayari uko bayasd.
Nyie ndio wale Mzee zomba anawaita "wabaguzi wa ujinga".
Mkuu pesa mwana haramu bana
Huwezi amini eti huyu diva wa urembo anamuitaga Mzee Mengi handisamu
jaman huyu mtoto angepewa na ---- ni mkali hasa!13: Lisa Jensen
Mmh! hata huyu?9. Wema Sepetu