My love story, why am I single

umezingua!!
 
Miss Natafuta
Inaonyesha unatengena na mpenzi wako pasipo kujua tatizo?

Ukisoma hii mada kwa kutumia miwani ya Sabaya unakuja kukutana na:-

1.Hajawahi nisaidia kitu zaidi ya ushauri

2.Mimi nilikuwa bize siku 2 bila mawasiliano naye sababu ya kazi 24/7

3.Bwana yule hakunipenda
______________________________________

Kwa msaada wa miwani ya sabaya nachangia hoja

Miss Natafuta
Ndani ya moyo wako mapenzi unayotafuta kwa mpenzi wako mpya awe x siyo kipaumbele chako cha kwanza, unachokihitaji kutoka kwa mwanaume yoyote yule, ila unatafuta mwanaume aje akupe mapenzi ili ratiba zako za kimwili zikamilike kama mwanamke uliye kamilika.

Miss Natafuta kuna kitu kinakupa jeuri sana, huwezi kumsikiliza tena mpenzi wako na unataka uwe huru kufanya mambo yako bila kuingiliwa kwa kisingizio hana cha kukusaidia zaidi ya ushauri anaokupa.

ila kumbuka unapokuwa kwenye mahusiano na mpenzi wako, mpenzi wako anajisikia faraja kama yeye anaongoza jahazi la upendo wenu, sasa badala yake wewe ndio upo juu yake na ndiye ulikuwa unayo road map ya mapenzi yenu yote mpaka yatakopoishia na ndio maana umedai umeshangazwa baada ya mahusiano yenu kuvunjika mpenzi wako hajakuuliza kwanini umeamua kuyavunja!!!

kitu ulichonacho kimekuweka juu zaidi na asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume katika mahusiano yenu.

Ndio maana kwenye mahusiano wanaume wanaojitambua hawataki kuwa na wanawake wanaojiona wako juu
 
Experience ya kusimuliwa na Matured men?

Au?

Haaaawa hawa ?
Dada amka tu tukande maandazi mwaya.
Kusimuliwa wapi? Kukutana nacho uso kwa macho...

Maandazi tayari? Nije na chai ya rangi au maziwa. Haha
 
Mtu ameshindwa kunipenda Mimi atampenda mwanangu kweli.siwezi force mimba kwa mtu .haikuwa riziki yangu
Huo ujumbe haukuhusiana na wewe kabisa kuna post nilikuwa nachangia.

Wewe malizia kisa chako tujue ukweli ndipo tuone hekima ya Wananzengo

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mnatoa wapi hizo hisia za kusimamisha kwa watu msiowapenda?
Kufanya ngoni kwa mwanaume hakuitaji hisia , ukiwa na ukame tu machine inasimama popote,
Ndo maana hta vichaa wanapewa mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…